Roland Merard (@rolandmedo) 's Twitter Profile
Roland Merard

@rolandmedo

#Bachelor of science in applied agricultural extension
#certicified Court broker
# M&E debt collection and auction
#Leadership
#art of war#

ID: 1497572553635811331

linkhttps://medebtscollectorauctioneer.co.tz calendar_today26-02-2022 14:03:51

2,2K Tweet

2,2K Followers

3,3K Following

Roland Merard (@rolandmedo) 's Twitter Profile Photo

Options zilikuwa mbili nimpoteze au nimng'ang'anie nijipoteze, nilichagua kumpoteza Kama shilling mia kwenye bahari hatokaa aonekane tena kwenye maisha yangu.

Roland Merard (@rolandmedo) 's Twitter Profile Photo

Mimi ni shabiki wa Mpira, shabiki wa Yanga itoshe kusema wamefanya upumbavu mkubwa Sana, wamevaa kitu Cha hovyo mno kwenye hili yani Yanga anaichangia CCM Kama nani?

Ikitokea FIFA wakaifungia Yanga au tanzania Kwa ujumla Engineer Herse said atakuwa ni kiongozi mbovu kuwahi kutokea kwenye historia ya Yanga na mpira wa tanzania Kwa ujumla.

Roland Merard (@rolandmedo) 's Twitter Profile Photo

Leo nimekutana na mpanzu akaniuliza natafuta Nini, nikamwambia nafanya research ya machimbo akasema fresh hakujua Kama mi mwenyewe kisinda ila sikutaka tushindane mbio maana mawinga wawili tulikutana angle moja😂😂.

Roland Merard (@rolandmedo) 's Twitter Profile Photo

"A group of 100 sheep led by a Lion will beat a group of 100 Lions led by a sheep" hapa Alexander the great alikuwa anaeleza umuhimu wa kuwa na viongozi jasiri, imara, wenye maarifa na positive attitude. Nadhani tanzania ni sawa na group of a Lions led by a sheep.

Roland Merard (@rolandmedo) 's Twitter Profile Photo

Leo nipo humu ndani kufuatilia muenendo wa kesi ya Tundu Lissu kupitia account ya katavi boy Sativa. Ikiisha tunarudi EPL tuulizane team gani itatuzuia red devils tusichukue ubingwa wa EPL

Roland Merard (@rolandmedo) 's Twitter Profile Photo

Mfumo wako wa Imani una 90% katika kuamua maisha yako Kwa ujumla, kuanzia jinsi unavyoishi na watu Hadi kwenye mambo ya kiuchumi na mafanikio, pima mfumo wako wa Imani ukoje Anza kuufix then ishi.

Mfumo wako wa Imani una 90% katika kuamua maisha yako Kwa ujumla, kuanzia jinsi unavyoishi na watu Hadi kwenye mambo ya kiuchumi na mafanikio, pima mfumo wako wa Imani ukoje Anza kuufix then ishi.
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

TUNAMTAKA AKIWA SALAMA. Mtumishi wa Mungu McH na mwimbaji wa nyimbo anayefahamika kama Injili Igeuzayo Roho ametekwa na wasiojulikana: Nyimbo hizo ni Waraka wa Chadema, Oktoba wajinga ndio watatiki, freedom fighter ambaye pia ni mtumishi wa Mungu kwa maana ya Mchungaji n.k

TUNAMTAKA AKIWA SALAMA. 

Mtumishi wa Mungu McH na mwimbaji wa nyimbo  anayefahamika kama Injili Igeuzayo Roho ametekwa na wasiojulikana:

Nyimbo hizo ni Waraka wa Chadema, Oktoba wajinga ndio watatiki, freedom fighter ambaye pia ni mtumishi wa Mungu kwa maana ya Mchungaji n.k
Roland Merard (@rolandmedo) 's Twitter Profile Photo

Unakuta mwanaume anamaliza advance anachaguliwa kujiunga jeshi Kwa mjibu wa Sheria anajiandaa vizuri hlf anaenda kuwa mgonjwa wa kudumu kambini baadae anaamua kujiunga NGOMA COY😂😂 Kiufupi huyo ni mwanaume jina ila DNA ni SARAFINA.

Roland Merard (@rolandmedo) 's Twitter Profile Photo

TUNDU LISSU na CHADEMA Hadi hapa tulipofika agenda yao ya NO REFORMS NO ELECTION imefauli Kwa asilimia 70 imetusaidia kujua jinsi gani Taifa limeharibika na lilivyokuwa limejaa matapeli ndani ya CHADEMA yenyewe na CCM.