as vita (@robendefoe14) 's Twitter Profile
as vita

@robendefoe14

๐Ÿ’™Chelsea & ๐Ÿ’› Yanga SC Fan | Passion for Football โšฝ | Match Updates & Banter | #BlueYellowArmy

Champions Never Rest โ€“ Chelsea & Yanga Forever!๐Ÿ’™๐Ÿ’›

ID: 1517996438864683009

calendar_today23-04-2022 22:39:21

1,1K Tweet

814 Followers

880 Following

as vita (@robendefoe14) 's Twitter Profile Photo

Ivi lile tukio la penati kati ya prison na singida fountain na tukio la penati ya Simba na dodoma Jiji Kuna utofauti Gani?

as vita (@robendefoe14) 's Twitter Profile Photo

Nilihisi nipo busy sana leo, lakini ukweli ni kwamba nilikuwa busy kuangalia "loading screen" ya laptop kwa dakika 30.

as vita (@robendefoe14) 's Twitter Profile Photo

Simba wana jina kubwa, lakini kama wakiendelea kucheza hivi, tutawapa jina jipya: 'Simba wa Mwezi', maana wanang'ara tu wakati wa mwezi wa kwanza wa ligi!๐Ÿ˜

Nawatakia kila la kheri Yanga katika mechi yao ya leo, na naomba wacheze kwa juhudi na maarifa ili wapate ushindi. Hata hivyo, ni matumaini yangu kwamba Simba watajikuta wakikosa matokeo mazuri katika mechi yao. Mungu aendelee kuwatia nguvu Yanga wapate ushindi.

as vita (@robendefoe14) 's Twitter Profile Photo

Warumi 13 : 7 Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima. Ko ndugu zangu Simba kama Hadi biblia inatambua kuwa Kila anayetakiwa kupewa heshima apewe why nyie mnaona mkitupa wananchi heshima yetu ni kosa?

Warumi 13 : 7
Wapeni wote haki zao; mtu wa kodi, kodi; mtu wa ushuru, ushuru; astahiliye hofu, hofu; astahiliye heshima, heshima.
Ko ndugu zangu Simba kama Hadi biblia inatambua kuwa Kila anayetakiwa kupewa heshima apewe why nyie mnaona mkitupa wananchi heshima yetu ni kosa?
as vita (@robendefoe14) 's Twitter Profile Photo

Ivi serikali Huwa inadai mtu anayesoma diploma anatafuta sifa ya kuwa kama mtu aliyesoma form six sasa kwann diploma anapewa mkopo afu form six ata hafikiriwi kupewa mkopo?