Ridhiwani Maulid (@ridhiwani_m) 's Twitter Profile
Ridhiwani Maulid

@ridhiwani_m

Dunia inaweza kukuheshimu kwa maneno ya kinywa chako, lakini Mungu atakuadhibu kwa dhamira ya moyo wako

ID: 1610660732344930307

calendar_today04-01-2023 15:33:48

6,6K Tweet

595 Followers

330 Following

Ponder.One (@ponder_one) 's Twitter Profile Photo

New Airdrop Alert 🚨 In celebration of being listed as a Dapp on SafePal - Crypto Wallet wallet, we are doing an airdrop for our communities! 🪂 Swap & bridge across 50+ chains (both EVM & non-EVM) at the best rates, and grab your chance to win from a pool of 20,000 $PNDR! 🧠 Here’s how to

New Airdrop Alert 🚨

In celebration of being listed as a Dapp on <a href="/iSafePal/">SafePal - Crypto Wallet</a> wallet, we are doing an airdrop for our communities! 🪂

Swap &amp; bridge across 50+ chains (both EVM &amp; non-EVM) at the best rates, and grab your chance to win from a pool of 20,000 $PNDR! 🧠

Here’s how to
Ridhiwani Maulid (@ridhiwani_m) 's Twitter Profile Photo

Nothing screams patriotism like rallying foreigners to besiege your own country’s embassy. Next stop? Singing the national anthem in Swahili accents while holding placards sponsored in pounds and dollars. You're 🇹🇿, yet you mobilize against 🇹🇿from 🇰🇪? That’s betrayal. MSALITI😒

Ridhiwani Maulid (@ridhiwani_m) 's Twitter Profile Photo

Al-Jumaa Kareem! M/Mungu akufanyie siku hii ikawe ya baraka, faraja na mafanikio. Kila unachokiomba kwa nia njema kikupate kwa wepesi pasi uzio. Endelea kuamini, M/Mungu ana mipango bora na wewe. Usisahau kutabasamu leo, maana tabasamu ni sadaka iso gharama.

Ridhiwani Maulid (@ridhiwani_m) 's Twitter Profile Photo

"Nakshi ikichorwa kwenye mchanga, upepo ukija hufutika, lakini ikichorwa kwenye jabali hukaa daima. Watoto ni majabali yetu, tuwaandae watoto wetu kwa malezi bora kwani hao ndio warithi wetu." Mhe. Dkt. Samia S. Hassan

Ridhiwani Maulid (@ridhiwani_m) 's Twitter Profile Photo

Nakutakia Eid Mubarak! 🕌💫 Titumie siku hii tukufu kwa kujitolea, kusaidiana na kushukuru kwa Neema tuliyobarikiwa. Tusisahau kuwaombea WATOTO, WANAWAKE NA WENZETU WOTE WA PALESTINE wanaoendelea kukabiliwa na MAUAJI YA KIMBARI, NJAA NA MATESO MAKALI🙏 Eid Njema kwa wote! 🕋🤍

President Xi Jinping - Commentary (@presidentxichn) 's Twitter Profile Photo

The world can move on without the United States. 100 years ago, the British Empire dominated global commerce, commanding more than 20% of the world’s wealth. Many believed its sun would never set. 200 years ago, France bestrode Europe’s stage, its armies feared, its culture

The world can move on without the United States.

100 years ago, the British Empire  dominated global commerce, commanding more than 20% of the world’s wealth. Many believed its sun would never set.

200 years ago, France bestrode  Europe’s stage, its armies feared, its culture
Lord Bebo (@mylordbebo) 's Twitter Profile Photo

🇮🇷🇺🇸‼️🚨 BIG SHOW - BACK DOOR DEAL? 1) Iran’s nuclear facilities were evacuated and equipment moved out days in advance. 2) US publicly announced and made the upcoming strikes visible. We all saw the bombers moving in place and the news coverage predicting the strike. 3) The

Beth Kasinga 🌴 (@beth_kasinga) 's Twitter Profile Photo

There is SERIOUSLY NO EXCUSE FOR HUMANS TO LIVE LIKE THIS!Your waste is your responsibility! Una lipa aje mtu pesa una fanya kazi kuishi kwa takataka?

Ridhiwani Maulid (@ridhiwani_m) 's Twitter Profile Photo

Kamwe usimfundishe mtu jinsi ya kukuendesha. Ukitoa udhibiti wa hisia zako, umempa mtu ufunguo wa maisha yako📌 #Kaushauri

Ridhiwani Maulid (@ridhiwani_m) 's Twitter Profile Photo

Leo ni siku ya baraka ; sema neno jema, tabasamu, samehe kwa wepesi, na omba na pambana bila kuchoka. A L - J U M A A - K A R E E M🕌 #JumuaMubarak #WemaHaugharimu

Salim Alkhasas (@salim_alkhasas) 's Twitter Profile Photo

Shida yenu mmekosa hoja mnarukia kila mada…. Hizi baiskeli na pikipiki zimetolewa kwa watendaji wa chama nchi nzima kutoka kwenye ruzuku za chama, ruzuku ambazo huko kwenu mlinunua ford ranger mkagawana… kaa chini ujifunze