Egibert Rubery πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile
Egibert Rubery πŸ‡ΉπŸ‡Ώ

@rexruberyjr1

Soil scientist and Agronomist |Farmer|politician|True ideologist, servant and academia
#Tanzania,kwanza

ID: 1551704847585607680

calendar_today25-07-2022 23:04:27

43 Tweet

218 Followers

429 Following

Egibert Rubery πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Mageuzi makubwa kwenye sekta ya elimu yamechagizwa sana na utendaji uliotukuka wa mhe Rais chini ya serikali ya awamu ya sita πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ…βœ… Mama kazini

Mageuzi makubwa kwenye sekta ya elimu yamechagizwa sana na utendaji uliotukuka wa mhe Rais chini ya serikali ya awamu ya sita πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώβœ…βœ… 
Mama kazini
Egibert Rubery πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Kesho yetu ni Siri kubwa. | Tuishi Kwa kumtegemea Muumba wetu anaejua kesho yetu. Heshimu kila mtu | Usikate tamaaa | Usiache kusali | Ishi vizuri na watu.

Egibert Rubery πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Ni ishara ya furaha na bashasha kuungana na mkuu wa chuo Cha kilimo sokoine university of agriculture kumpatia katibu mkuu wa chama Cha mapinduzi Tanzania ndugu, Daniel Chongolo . Ikiwa ni sehemu ya kumkaribisha na kumkarimu kwenye mazingira ya chuo chetu. Karibu sana SUA βœοΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Ni ishara ya furaha na bashasha kuungana na mkuu wa chuo Cha kilimo sokoine university of agriculture kumpatia  katibu mkuu wa chama Cha mapinduzi Tanzania ndugu, Daniel Chongolo .
Ikiwa ni sehemu ya kumkaribisha na kumkarimu kwenye mazingira ya chuo chetu.
Karibu sana SUA βœοΈπŸ‡ΉπŸ‡Ώ
Egibert Rubery πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Ziara ya kutembelea miradi iliyotekelezwa na mhe.rais TAHLISO madam Maria J Thomas Kipind akiwa rais wa chuo kikuu Cha Jordan Morogoro πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Ziara ya kutembelea miradi iliyotekelezwa na mhe.rais TAHLISO madam Maria J Thomas 
Kipind akiwa rais wa chuo kikuu Cha Jordan Morogoro πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Egibert Rubery πŸ‡ΉπŸ‡Ώ (@rexruberyjr1) 's Twitter Profile Photo

Natambua sana mchango wa Tawi mama katika kunijenga na kunilea kisiasa nami nahaidi Kuwa mtiifu, na mwaminifu katika utumishi wangu . Enheee Mungu nisimamie Kidumu chama Cha mapinduzi βœ… #rexruberyjr

Natambua sana mchango wa Tawi mama katika kunijenga na kunilea kisiasa  nami nahaidi Kuwa mtiifu, na mwaminifu katika utumishi wangu . 
Enheee Mungu nisimamie
Kidumu chama Cha mapinduzi βœ…
#rexruberyjr