@renn_iie
ID: 1547913058521034753
calendar_today15-07-2022 11:57:25
5,5K Tweet
2,2K Followers
2,2K Following
2 months ago
Difference ya Tissue na saviet ukuwa Gani??๐๐๐
Peace of mind kidogo kitambi ndio hii๐๐
Hii maneno ya kufake kutoka kwa nyumba ndio atoke itanifanya nihame kilimani
Lecturer ametuambia hii CAT haitaki akili kama ya Sudi๐๐
Mkiachana na mpoa wako sai uta demand akupee nini?
ukianza kumiss her kumbuka vile alikuwa anarudisha ndani
babygirl juu kuna baridi can i be your coat๐ฅฒ
Unakumbuka primary school Kwa dabate ukisema education is better than money ๐
Mpira irudi sasa wanaume wameanza kupotea njia
flowers ni ngapi
Sikatatai boy wako anamwaga haraka, lakini sasa mbona umsave ghafla bin vuu ๐
Her: unaitwa? Me: Na nani Her: Nooo, i mean your name Me: ooh, headborn Her: kutoka? Me: Nizaliwe Her: zii, I mean your home.. Me: meru Her: Nilitoa number yako kwa group whatsApp Me: okay, nice ukimalizia urudishe
Sai kuna lecturers wanawapangia cat Wednesday for reasons well known to them
Kenya ni rahisi kuibia watu kutumia Bible kuliko bunduki
Twitter is my therapy
If only they understood what we mean when we do it...