policy forum (@policy_f) 's Twitter Profile
policy forum

@policy_f

A Tanzanian network of civil society organizations working to influence policy processes that improve the lives of people.

ID: 605219511

linkhttp://www.policyforum-tz.org calendar_today11-06-2012 05:25:15

8,8K Tweet

23,23K Followers

1,1K Following

M A G I R I (@kiganyi_) 's Twitter Profile Photo

By 2030, pato la Taifa litashuka kwa asilimia 1.2 kutokana na mabadiliko ya tabia nchi kuathiri uzalishaji wa chakula #PolicyForumBreakfastDebate

Rajamu (@dadaconso) 's Twitter Profile Photo

Serikali imeanzisha miradi mbalimbali ikiwemo biashara ya kuuza HEWA YA UKAA (CARBON). Kutokana na biashara hii wananchi pia wanapata elimu ya mazingira, kipato na wanatuza mazingira #PolicyForumBreakfastDebate

Holy (@yose_hoza) 's Twitter Profile Photo

Kwenye udhibiti wa misitu zipo jitihada nyingi mpaka sasa za kuhakikisha jamii inaondokana na dhana ya ufyekaji miti hovyo Felister Kagembe Afisa Misitu Mkuu kutoka TAMISEMI #PolicyForumBreakfastDebate

Kwenye udhibiti wa misitu zipo jitihada nyingi mpaka sasa za kuhakikisha jamii inaondokana na dhana ya ufyekaji miti hovyo 

Felister Kagembe Afisa Misitu Mkuu kutoka TAMISEMI 
#PolicyForumBreakfastDebate
Rajamu (@dadaconso) 's Twitter Profile Photo

Serikali kupitia TAMISEMI imeweka taratibu mbalimbali na sheria Ili kuhakikisha mazingira yanalindwa. Mfano, ni marufuku kufanya shughuli zozote karibu na vyanzo vya maji. Hii imepunguza sana uharibifu wa vyanzo vya maji kwenye maeneo mengi #PolicyForumBreakfastDebate

Kuna umuhimu mkubwa wa kutoa elimu kuhusu mabadiliko ya tabia nchi kuanzia shule za msingi. Uzuri wa hii, inaweza kusaidia sana kuamsha watu kifikira kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi. Pia Kuna umuhimu wa kuangalia matumizi ya nishati mbadala. #PolicyForumBreakfastDebate

policy forum (@policy_f) 's Twitter Profile Photo

Hivi jamii inashirikishwa je kwenye mikakati inayolenga kutatua matatizo ya mabadiliko ya tabia nchi #PolicyForumBD #PolicyForumBreakfastDebate

Hivi jamii inashirikishwa je kwenye mikakati inayolenga kutatua matatizo ya mabadiliko ya tabia nchi 
#PolicyForumBD 
#PolicyForumBreakfastDebate
policy forum (@policy_f) 's Twitter Profile Photo

Community-based adoption is crucial for building resilience to climate change. By engaging local communities, solutions become more tailored, sustainable, and adaptable to the unique environmental and social challenges they face. #PolicyForumBD #PolicyForumBreakfastDebate

Community-based adoption is crucial for building resilience to climate change. By engaging local communities, solutions become more tailored, sustainable, and adaptable to the unique environmental and social challenges they face.

#PolicyForumBD
#PolicyForumBreakfastDebate
Lameck Isaya (@isaya_lameck) 's Twitter Profile Photo

Unapanga na Unapeleka #sera juu ya mabadiliko ya tabia nchi kwa eneo ambalo hawajashirikishwa katika uundaji wa hiyo sera, alafu sera zinapofeli unasema #wananchi hawako tayari. #PolicyforumBreakfastDebate

Lameck Isaya (@isaya_lameck) 's Twitter Profile Photo

Wengi wanakuja na mpango wa kupanda miti mashuleni lakini ufuatiliaji wake ni hafifu ambapo mwisho wa siku miti ile inakufa. Kama tutatumia wanafunzi kupanda miti basi tuweke na mkazo wa kufuatilia maendeleo. #PolicyforumBreakfastDebate

Lameck Isaya (@isaya_lameck) 's Twitter Profile Photo

Kwa hapa #Dodoma mkaa mwingi unatoka Wilaya #Kondoa na ushuru mwingi unakusanywa kupitia vibali vilivyowekwa. Swali langu ni namna Wilaya ya Kondoa inatumia #ushuru huo kupanda miti mingi zaidi " Mdau #policyforumbreakfastDebate

Lameck Isaya (@isaya_lameck) 's Twitter Profile Photo

Tutumie zaidi mitandao ya kijamii na vyombo vya habari katika kuhamasisha juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi kwa sababu ni rahisi na inaweza kuwafikia watu wengi. #Policyforumbreakfastdebate

Lameck Isaya (@isaya_lameck) 's Twitter Profile Photo

Je kipi kifanyike katika kujenga ustahimivu wa kisera juu ya mabadiliko ya tabia ya nchi? Wapi #tuongeze wapi tupunguze, wapi tupate #pesa wapi tuzipeleke, #sera ziweje na ushirikishwaje uweje, nani apewe #jukumu hili na muendelezo wake uweje? #Policyforumbreakfastdebate

policy forum (@policy_f) 's Twitter Profile Photo

Tanzania Confronts Climate Challenges: A Pathway to Resilience Outlined in Dodoma #PolicyForumBD policyforum-tz.org/news/2024-09-2…

policy forum (@policy_f) 's Twitter Profile Photo

Policy Forum is organizing a workshop for Tanzanian Civil Society Organizations (CSOs) on Tax Justice, Domestic Resource Mobilization (DRM), and strategies to combat Illicit Financial Flows (IFFs) in Dodoma. The workshop aims to develop Champions and Trainers of Trainers (ToTs)

We're delighted to be part of #EducationOutLoud, GPE's fund for advocacy and social accountability. Thanks to advocacy training programmes, young activists like Joshua Mpossa are learning how to address their communities' challenges: globalpartnership.org/results/countr…

Tax Justice Network Africa (@taxjusticeafric) 's Twitter Profile Photo

Africa is burdened by unsustainable debt burdens, often worsened by illicit financial flows that siphon off crucial resources needed for development. We must come together and demand a pan-African outlook on issues of debt and international financial architecture to

Africa is burdened by unsustainable debt burdens, often worsened by illicit financial flows that siphon off crucial resources needed for development.

We must come together and demand a pan-African outlook on issues of debt and international financial architecture to
policy forum (@policy_f) 's Twitter Profile Photo

One of the key topics covered during the Training on Illicit Financial Flows (IFFs), Domestic Resource Mobilization (DRM), and Tax Justice, which concluded today in Dodoma, was the connection between IFFs and DRM. How do IFFs impact DRM? IFFs weaken DRM by siphoning off crucial

One of the key topics covered during the Training on Illicit Financial Flows (IFFs), Domestic Resource Mobilization (DRM), and Tax Justice, which concluded today in Dodoma, was the connection between IFFs and DRM.

How do IFFs impact DRM?
IFFs weaken DRM by siphoning off crucial