Philbert (@phils_techtrots) 's Twitter Profile
Philbert

@phils_techtrots

Cybersecurity Enthusiast | ☁️ Aspiring Cloud Security Specialist | 📊 Tech & Trading Mindset

ID: 1430289873005694988

calendar_today24-08-2021 22:04:28

990 Tweet

782 Followers

151 Following

Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

Muda ambao upo free jiongezee ujuzi wowote ambao utakuingizia hela either leo or hata kesho. Kuna free short courses kibao YouTube. Skills ambazo zinanipatia hela leo nimejifunza zaidi ya miaka sita nyuma. Hii sio motivational speech ni reality. START NOW!

Gillsant v10 (@gillsaint) 's Twitter Profile Photo

WAZO: Kuna watu wana biashara au wazo la biashara but hawana team au mtaji. Mfano mtu ana bidhaa zake anataka kuuza mtandaoni lakini hafahamu mambo ya social media marketing. Kwa nini tusiwe na hashtag ya kutafuta mtu mwenye utaalam ambao huna then unaungana nae?

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini. Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako. Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.

Vala Afshar (@valaafshar) 's Twitter Profile Photo

How can Alibaba sell tens of billions dollars of products in one day? The workforce of the future is humans and machines; and % machine increases. A look inside Alibaba Group's smart warehouse, where robots do 70% of the work, with 300% more efficiency

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Malkia Nyuki 👑 Mwambie aingie Kwenye Platform ya Expertnaire anunue Course ya Toyin omotoso inayoitwa"The 72 IG" asome Taratibu Kitu Kinachoitwa Affiliate marketing, baada ya Hapo atatumia WhatsApp, Facebook & Instagram Kutengeneza Kipato Bila Kuharibu Ratiba yake ya Masomo

Janet Machuka (@janetmachuka_) 's Twitter Profile Photo

10 Best Freelancing Platforms to Find Work 1. Fiverr: digital marketing, web development, social media 2. Toptal: software development, financial consulting, interim management 3. Jooble: writing, graphic design, data entry

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Nilichojufunza Kutoka Kwa Mzee aliyedumu Kwenye NDOA Miaka 57... . Nakumbuka ilikuwa Mwaka 2002 nilienda Kumtembelea Bibi & Babu Huko Mwanza... . Nilikuwa Bado chalii mdogo sana ila Uelewa wa Mambo ulikuwepo... . Siku Moja Nilikuwa Napiga Story na Bibi...👇

AmosiNyanda (@nyandaamosi) 's Twitter Profile Photo

Basi Bhana Mzee Nyashebo Jana Baada ya Kumfunga Kwenye Bao akaniambia... . "If you really have a Problem of Getting Woman...then go and Learn SALES & MARKETING" . It's almost the same PROCESS! . Rule No. 1 : There's no Marriage in the First date!

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

Building generational wealth in 10 yrs: 1. Earn as much as you can 2. Spend as little as possible 3. Save consistently 4. Invest in appreciating assets

Dr. Kala. MD (@kalegamyeh) 's Twitter Profile Photo

Unafeli form six Unaenda Clinical officer then unaunga MD. Jumla miaka 9 yaani 20s yote umechoma shule then unaenda kuanza maisha na kuvolunteer at 30s. Hapa una financial command kama ya fresh graduate mwenye miaka 22 au 23 kutoka kada zingine. Yaani hapa ni sawa na kuanza