Precious Catie ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@pcatnho) 's Twitter Profile
Precious Catie ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ

@pcatnho

God First~Matt 6:33 || Mom's Daughter๐Ÿซถ๐Ÿซถ || Profession-TBI

ID: 1835040022732423168

calendar_today14-09-2024 19:37:39

4,4K Tweet

727 Followers

305 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Wanangu tujipongeze kwa kazi nzuri ya kupambana #NoReformsNoElection . Hii keki tunakata hapa hapa. Weka Comment ya #NoReformsNoElection kama unastahili kipande hiki cha keki.๐Ÿ”ฅ #NoReformsNoElection #TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž

Wanangu tujipongeze kwa kazi nzuri ya kupambana #NoReformsNoElection . Hii keki tunakata hapa hapa.

Weka Comment ya #NoReformsNoElection  kama unastahili kipande hiki cha keki.๐Ÿ”ฅ

#NoReformsNoElection 

#TUTAKUWEPO๐Ÿซต๐Ÿพ๐Ÿ˜Ž
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Ningepata nafasi ya kurudisha miaka nyuma na kuchagua upya kombi gani nitaenda nayo basi ningerudi na kuchagua โ€œARTSโ€. Kisha advance ningesoma zangu HKL, baadae Chuo ningeenda zangu kusomea UWANASHERIA. Kwasasa nimetokea kuupenda UWANASHERIA.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#MAANDAMANOUPDATES Maandamano yetu yataanza Saa 5 Asubuhi. โ€ข waliopo Hapa X tutafungua SPACE ambayo itakuwa LIVE kwa masaa matatu. โ€ข Tutaanza ROUTE YA MAHAKAMA-Tutashare Email ya mahakama na baadhi ya Namba za majaji tuwatumie jumbe ZETU. โ€ข Tutafuata ROUTE YA

#MAANDAMANOUPDATES

Maandamano yetu yataanza Saa 5 Asubuhi.

โ€ข waliopo Hapa X tutafungua SPACE ambayo itakuwa LIVE kwa masaa matatu.

โ€ข Tutaanza ROUTE YA MAHAKAMA-Tutashare Email ya mahakama na baadhi ya Namba za majaji  tuwatumie jumbe ZETU.

โ€ข  Tutafuata ROUTE YA
Precious Catie ๐Ÿ‡น๐Ÿ‡ฟ (@pcatnho) 's Twitter Profile Photo

Hi picha sijui kwa nini kila nikiitazama najisikia kucheka๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ Ndugu wakenya tunaomba huyu mwamba alindwe kwa #WIVU mkubwa pia ajengewe #SANAM ๐Ÿ˜Ž

Hi picha sijui kwa nini kila nikiitazama najisikia kucheka๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿ™Œ

Ndugu wakenya tunaomba huyu mwamba alindwe kwa #WIVU mkubwa pia ajengewe #SANAM ๐Ÿ˜Ž
CHILLEH MR SHITCOIN (@mrshitcoin_tz) 's Twitter Profile Photo

Ili uweze kufanikiwa lazima uwe wa tofauti na wengine Lazima uanze kuishi tabia za matajiri lazima uwe mtu wa kujaribu furusa tofauti tofauti โ€ฆ.