paul sunday (@paulcasmirs) 's Twitter Profile
paul sunday

@paulcasmirs

better late than never
@Mr now you know

ID: 3306976667

calendar_today03-06-2015 11:53:42

186 Tweet

50 Followers

813 Following

Ms Lyne🌹 (@roseylyne) 's Twitter Profile Photo

Mwanaume atabaki kua Mwanaume anaitaji Heshima zake! Mngejua Baraka zingine zinatoka kwa Mwanaume Expecially Kama ni Mume wako, Women Hata kama umesoma, unakipato kuliko yeye Aisee RESPECT YOUR MAN!!

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kuna Hii Kauli Naisikiaga Sana Watu Wakisema, Sikuhizi Watu Hawataki Kusikiliza Nyimbo Za Shida Shida, Coz Tayari Wana Shida So Wanataka Nyimbo Za Ku-Vibe, Za Ku-Party, Bata!! Ndio Unakuta Wanasea Yani Mimi Nina Mastress Aaf Uniimbie Tena Manyimbo Ya Stress Sisikilizi!!

#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Kati Ya Vitu Nimeweza Kuvimudu Sikuhizi Ni Kutom-Block Mtu💪 Yani Hata Unitukane, Uni-Criticize Vipi SikuBlock!! Its Either Nitakuchekea Tu, Tutajibizana Kwa Hoja Au Nitakujibu Kimaandazi Maandazi, Inategemea Unakujaje!!

Maalim Nash (@nashemcee) 's Twitter Profile Photo

TAARIFA: Alhamdulillah,kila kitu kipo safi hapa London na wakati huu nimeshafika katika Kongamano na tayari kwa kuwasilisha mada yangu Lakini pia kutumbuiza kidogo kwa ajili ya kuendelea kuitangaza lugha yetu ya Kiswahili. Taarifa zaidi zitawajia kupitia CBTV CHAMAZI BAMIA TV.

TAARIFA:

Alhamdulillah,kila kitu kipo safi hapa London na wakati huu nimeshafika katika Kongamano na tayari kwa kuwasilisha mada yangu Lakini pia kutumbuiza kidogo kwa ajili ya kuendelea kuitangaza lugha yetu ya Kiswahili.

Taarifa zaidi zitawajia kupitia CBTV CHAMAZI BAMIA TV.
Maalim Nash (@nashemcee) 's Twitter Profile Photo

Alhamdulillah. Jana niliwasilisha Ikisiri yangu kuhusu Mchango wa Hip Hop katika Fasihi hapa Chuo Kikuu, SOAS London na pia nilijibu maswali kupitia Meza ya mjadala ya wawasilishaji. Naendelea kuwakilisha Kiswahili kupitia Hip Hop Ulimwenguni. FO KARIBU NA ZIRO INAENDELEA.

Alhamdulillah.
Jana niliwasilisha Ikisiri yangu kuhusu Mchango wa Hip Hop katika Fasihi hapa Chuo Kikuu, SOAS London na pia nilijibu maswali kupitia Meza ya mjadala ya wawasilishaji.
Naendelea kuwakilisha Kiswahili kupitia Hip Hop Ulimwenguni.

FO KARIBU NA ZIRO INAENDELEA.
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

#BREAKING: Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki Dunia leo Februry 29,2024 saa 11:30 jioni Hospitalini Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya mapafu. Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza msiba huo leo ambapo

#BREAKING: Rais Mstaafu wa awamu ya pili wa Tanzania, Ally Hassan Mwinyi amefariki Dunia leo Februry 29,2024 saa 11:30 jioni Hospitalini Jijini Dar es salaam alipokuwa akipatiwa matibabu ya ugonjwa wa saratani ya mapafu.

Rais Samia Suluhu Hassan ametangaza msiba huo leo ambapo
Fabrizio Romano (@fabrizioromano) 's Twitter Profile Photo

🚨 Official: Premier League clubs unanimously agreed to the introduction of Semi-Automated Offside Technology. The new system will be used for the first time in the Premier League next season.

🚨 Official: Premier League clubs unanimously agreed to the introduction of Semi-Automated Offside Technology.

The new system will be used for the first time in the Premier League next season.