PATRICK M.DEUS (@patrickdeus7) 's Twitter Profile
PATRICK M.DEUS

@patrickdeus7

PROUDLY DAD OF 4 {RAINES, LOUIS,SEVERINE AND PATRICIA} HUSBAND TO SECILIA VEDASTUS, A MAN,HUSBAND, DAD, FRIEND, BUSINESSMAN, A FARMER AND A.M.A

ID: 1243565544005042177

linkhttp://www.patrickdeus.co.tz calendar_today27-03-2020 15:48:49

478 Tweet

618 Followers

7,7K Following

SANUKAnaCHAPO (@chapo255) 's Twitter Profile Photo

Mtoto wa umri wa Miaka 17 amepotea tangu 151/2022 alikuwa anatokea maeneo ya TEMEKE kwenda MBAGALA Anaitwa IQBARU SAID MKOMWA Yeyote atakaemuona au kuwa na taarifa za mtoto huyu wasiliana na familia kwa namba 0714198405/0693849355 Retweet mtoto aweze kupatikana.

Mtoto wa umri wa Miaka 17 amepotea tangu 151/2022 alikuwa anatokea maeneo ya TEMEKE kwenda MBAGALA
Anaitwa IQBARU SAID MKOMWA

Yeyote atakaemuona au kuwa na taarifa za mtoto huyu wasiliana na familia kwa namba 0714198405/0693849355 

Retweet mtoto aweze kupatikana.
Gerson Msigwa (@msigwagerson) 's Twitter Profile Photo

Mhe. Rais Samia hakukodi ndege ya Emirates wakati wa safari yake ya kwenda na kurudi Ufaransa na Ubelgiji. : Alisafiria ndege hizo kama abiria. : Ameokoa fedha nyingi ikilinganishwa na kama angetumia ndege binafsi ama angechukua ndege ya ATCL ama angekodi. WAPUUZENI WAPOTOSHAJI.

PATRICK M.DEUS (@patrickdeus7) 's Twitter Profile Photo

socialrebel.co-ca3.xyz Hey, I joined a website. You can easily make money by watching advertising videos, questionnaires and other tasks in it. Click the link to register and get $50 immediately! socialrebel.co-ca0.xyz/ref/rkfEAd4a #SocialRebel #trend

PATRICK M.DEUS (@patrickdeus7) 's Twitter Profile Photo

sign up to get a 10 US Dollar newcomer bonus! I made more than 200 US Dollars by watching the video here, so you can try it. hc9-video.xyz/69183889042327…

Air Tanzania (@airtanzania) 's Twitter Profile Photo

Shinda tiketi ya Bure; zingatia yafuatayo: 1. follow akaunti yetu,like na tweet posti hii kwenye akaunti yako. 2. Tumia hashtag #atcleastergiveaway 3. Mshindi ni atakaepata retweets nyingi zaidi. 4. Mwisho ni tarehe 31 Machi 2023 Vigezo na masharti kuzingatiwa.

Shinda tiketi ya Bure; zingatia yafuatayo:
1. follow akaunti yetu,like na tweet posti hii kwenye akaunti yako.
2. Tumia hashtag #atcleastergiveaway
3. Mshindi ni atakaepata retweets nyingi zaidi.
4. Mwisho ni tarehe 31 Machi 2023

Vigezo na masharti kuzingatiwa.
Tanzania Tunaweza (@tztunaweza) 's Twitter Profile Photo

Namna anavyojiamini, anavyoongea pamoja na majibu anayoyatoa kuhusiana na hoja hiyo yenye uzito wa aina yake. Inaonyesha wazi kariba ya kiongozi kama yeye ni hazina kubwa kwa Taifa letu. Hii inaonyesha wazi kwa Majukumu yoyote aliyoaminiwa kupewa sasa amekuwa ni mtu sahihi sana

Magogoni Daily (@magogonidaily) 's Twitter Profile Photo

Shuhuda za utu wa Mama toka kwa wachimbaji wa madini wa mgodi wa Sekenke I, Iramba Singida baada ya kupewa leseni ya uchimbaji waliyoikosa kwa muda mrefu.