Pascal Mayalla (@pascomayalla) 's Twitter Profile
Pascal Mayalla

@pascomayalla

ID: 1937001726

calendar_today05-10-2013 09:08:21

1,1K Tweet

4,4K Followers

1,1K Following

Pascal Mayalla (@pascomayalla) 's Twitter Profile Photo

4R za Rais Samia zaweza kuwa suluhisho la mgogoro wa DRC mwananchi.co.tz/mw/habari/sias… 。 Nimemtwisha Rais Samia sbb mgogoro huu ni fursa adhimu kwa Tanzania na Rais Samia,Kiafrika,kikanda na kimataifa,na kumalizika kwa mgogoro huu ni fursa ya kiuchumi kwa Tanzania kupitia Dar Port

Pascal Mayalla (@pascomayalla) 's Twitter Profile Photo

Hii ni makala yangu, Gazeti la Mwananchi , kwa kawaida, kelele za mlango, huwa hazimkoseshi mwenye nyumba usingizi, ila kelele hizo zikizidi, zinageuka kero!, swali ni hivi, licha ya hizi kelele zote, mwenye nyumba wetu, kweli anapata usingizi wa amani?.