Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile
Paschal sam

@paschalsam1

A good heart will attract blessings.

ID: 1189899392255496192

calendar_today31-10-2019 13:40:18

182,182K Tweet

77,77K Followers

5,5K Following

Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

Wimbi la viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) limeendelea kushika kasi, likidhihirisha kuporomoka kwa imani na mwelekeo wa kisiasa ndani ya chama hicho cha upinzani. Jana, Oktoba 26, 2025, Mjumbe wa Kamati Kuu ya

Wimbi la viongozi waandamizi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuhamia Chama Cha Mapinduzi (CCM) limeendelea kushika kasi, likidhihirisha kuporomoka kwa imani na mwelekeo wa kisiasa ndani ya chama hicho cha upinzani.

Jana, Oktoba 26, 2025, Mjumbe wa Kamati Kuu ya
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

Kiongozi wa zamani wa Kanisa la Ufufuo na Uzima, Askofu Josephat Gwajima, ameendelea kujikuta akipoteza heshima, imani na uungwaji mkono kutoka kwa Watanzania baada ya matamshi yake ya uchochezi na mwenendo wake wa kisiasa na kidini kudhihirika kuwa ni wa unafiki na tamaa ya

Wakati soka la Tanzania likizidi kung’aa barani Afrika, motisha ya “Goli la Mama” iliyotolewa na Serikali imeibua mjadala mpana kuhusu matumizi ya fedha kwa wanamichezo. Hata hivyo, wachambuzi wa uchumi na michezo wanaeleza wazi kuwa motisha kama hizi si zawadi za papo hapo, bali

Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Sasa mbona serikali inafunguia mitandao.? Nadhani haijafanya tathmini ya kina juu ya hili, kuna vijana wengi wamejiajiri humu..

Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Hii hamasa ni nzuri, lakini nadhani tungeweza kuzitumia kwa jicho lingine hasa kwenye kuboresha miundombinu ya michezo na kuanzisha shule za mpira (Academy)

Daktari Wa Manesi 💉💊 (@mcinikawalamar) 's Twitter Profile Photo

Wakali wa Kuspin Mko wapi? 🎰 Dubwi ya mtaani sasa ipo kwenye betPawa Tanzania Michezo 6 ya Black Lagoon Spinners kama Palm Beach Spinner na Super Cup Spinner ukiwa popote imebeba burudani na nafasi za ushindi kila dakika. 📲 Cheza ukiwa nyumbani, kazini, au hata kwenye daladala

Wakali wa Kuspin Mko wapi? 🎰 

Dubwi ya mtaani sasa ipo kwenye <a href="/betPawaTZ/">betPawa Tanzania</a>

Michezo 6 ya Black Lagoon Spinners kama Palm Beach Spinner na Super Cup Spinner ukiwa popote imebeba burudani na nafasi za ushindi kila dakika.

📲 Cheza ukiwa nyumbani, kazini, au hata kwenye daladala
Balyx (@balyx_) 's Twitter Profile Photo

Dubwi Kasino Games ndani ya BetPawa! Games 6️⃣ kutoka Black Lagoon zenye msisimko, burudani, na nafasi ya ushindi mkubwa kila mzunguko! 💸 Kwa TSh 1 tu, unaweza kuwa sehemu ya wachezaji wanaospin na kushinda papo hapo. Cheza Hapa 👇 JUMBA LA MABINGWA

Dubwi Kasino Games ndani ya BetPawa!

Games 6️⃣ kutoka Black Lagoon zenye msisimko, burudani, na nafasi ya ushindi mkubwa kila mzunguko!

💸 Kwa TSh 1 tu, unaweza kuwa sehemu ya wachezaji wanaospin na kushinda papo hapo.

Cheza Hapa 👇 JUMBA LA MABINGWA
Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Oktoba 29, siku ya historia na matumaini! Tukumbuke kuwa umoja, amani na upendo ndivyo vinavyoijenga Tanzania yetu.

Mchambuzi (@mchambuzi_tz) 's Twitter Profile Photo

Leo ni Oktoba 29, tuifanye siku ya matumaini na amani!Tukumbuke, Tanzania yetu ni kito cha thamani kinachong’aa kwa utulivu na maendeleo.

Paschal sam (@paschalsam1) 's Twitter Profile Photo

Ee Bwana, Mungu wangu, umefanya kwa wingi Miujiza yako na mawazo yako kwetu; Hakuna awezaye kufananishwa nawe; Kama ningependa kuyatangaza na kuyahubiri, Ni mengi sana hayahesabiki.🙏. ➡️ ZABURI 40¦5