Bongo kuna tofauti ya Bundle na Kifurushi..Ukimwambia mtu nimeunga Bundle anajua tu umeunga MB halafu ukimwambia nimeunga Kifurushi anajua ni Dakika..😆😆😆🤣😅
Huwa nawaangalia vijana wanaobully watu humu.
Wengi wao hawana hata uhakika wa kupata milo mitatu..
Badala wapambane na maisha yao, wao kazi yao ni kubully watu.
Kama yule janja wa gomz na yule mwenye avi ya kijani!
Kuna mshikaji wangu ananambia kipindi anakua bi mkubwa alizinguana na mshua alirudi kwao wakabaki na mshua sasa usiku wake mshua akachoma chapati unga kilo moja akatoa chapati 6 tu anakwambia walilala matumbo juu juu kama chatu kameza swala, kesho asubuhi Mshua akamfata Mama😂😂