Dan Osinya (@osinyadan) 's Twitter Profile
Dan Osinya

@osinyadan

pianist,busines,farmer,mentor,father

ID: 1149622909997993985

calendar_today12-07-2019 10:13:55

61 Tweet

10 Followers

60 Following

Radio Citizen (@radiocitizenfm) 's Twitter Profile Photo

Imran Okoth, mgombea kiti cha uongozi Kibra: Marehemu Ken Okoth alinifuata, mimi ndio nilikuwa mkubwa wake. Nilimsaidia na kazi nyingi sana na naelewa shida za wakaazi wa Kibra #JamboKenya

Imran Okoth: Shida kubwa ya wakaazi wa Kibra ni maji. Najua ni maeneo yapi ya Kibra yanakumbwa sana na ukosefu wa maji na swala hilo litapewa kipau mbele. Wakaazi wa Kibra, je, ni kweli kuwa changamoto kubwa kwenu ni maji? #JamboKenya

Imran Okoth: Shida kubwa ya wakaazi wa Kibra ni maji. Najua ni maeneo yapi ya Kibra yanakumbwa sana na ukosefu wa maji na swala hilo litapewa kipau mbele. 

Wakaazi wa Kibra, je, ni kweli kuwa changamoto kubwa kwenu ni maji? #JamboKenya
Dan Osinya (@osinyadan) 's Twitter Profile Photo

Kamau acha tu Mimi nliomba hadi slippers zile za red salimia mama Namulanda na br wakiwa Mabale junction ni Dan Osinya wa Namulanda Dc kibra