BLO’ anajua kwamba anagombea ubunge? Usikute ameokota kidaftari cha Luhaga Mpina anazunguka na ahadi za mgombea Urais? BLO akumbushwe kwamba anagombea ubunge Kigoma Mjini siyo Urais. Halafu, mbunge mmoja anashusha vipi bei ya saruji? Au ana kiwanda chake cha saruji? Huu sasa
Kama miaka 63 maisha ya watz yanazidi kudidimia na mmeshindwa kabisa kuokoa maisha ya watu,kwa miaka 5 mtafanya nin?mmezoea kujipatia madaraka kwa njia ya udanganyifu.
Aman ndio nin nyie?mnalinda amani zenu na familya zenu?au mnalinda amani za raia?kama hamjawah kujua kuwa ndege ya kuzima moto magorofani ni mhimu kulko V8 za mawazir.
Waandishi wa habar wa zama hizi ndio wajinga kuliko wasomaji wa habar,huo ni mkusanyiko wa wanachama wa ccm mkoa mzima ndio wapo hapo na sio wapiga kura wa eneo huska,mnalishwa matangopori nanyi bila aibu mnatulisha,tumieni akili hata za kukopa basi.
Miaka minne kashindwa kutatua matatizo ya bima hizo siku 100 zinaweza kutosha vipi?au ulimaanisha miaka 100 hatujakuelewa?uongo kwenu ni mira na destuli
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 61
Mahakama imerejea muda huu saa 9 dkika 25 alasiri.
Imepeigwa sauti ya High Courtttttt
Wameingia majaji.
Karani anasoma namba ya shauri.
Shahidi yupo na Mshitakiwa yupo.
Tunaendelea maswali ya Dodoso.
Jaji anauliza mko tayari.
Wakili
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 127
Anaendelea Katuga
Shahidi alitambua vielelezo pale kizimbani na ndio maana tunasema vipokelewe, alisema hawezi kutufundisha na sisi tunataka akitufundisha atufundishe kutoka kwenye Sheria.
Naomba niende kwenye hoja ya tatu ambayo inasema
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 128
Anaendelea Katuga naomba sasa nihamie kwenye hoja ya nne.
Mshitakiwa anasema vielelezo visipokelewe eti akiwamaambia kwamba vielelezo hivi vimevunja mnyonyoro wa utunzaji.
Watu wanacheka. 😂😂😂
Ni mnyororo kumbe.
Amesema Chain of
Kinacho tangulia ni kipi?
Unawezaje kusisitiza amani bila kuanza na haki?yaan tunakoswq haki nyie mnaona ni amani ndio ya mhim?hiv amani ni nini?mnashiriki dhambi ya kuficha maovu ya viongozi kwa kivuli cha amani.
Huyu anaitwa Shababi Nsato Marijani.
Ni mtoto wa Afande Nsato Marijani.
Yeye na taasisi yake ya Uwakili inayoitwa Hyperion ndo inayotumika kwenye kesi ya mgawanyo wa mali za CHADEMA.
Na sasa Taasisi hiyo hiyo ndo imetumika kutufungulia kesi ya kuidharau Mahakama ikiwa na
#UPDATES_KESI_YA_UHAINI
Part 133
Anaendelea kusoma uamuzi Jaji Nduguru
Kilichotokea hapa Mahakamani shahidi ametender flash disk yenye hizo video na memory card.
Ingawa upande wa Mashitaka uliishawishi Mahakama kuwa hizo flash disk zimebeba picha na video na wakatumia