Shukrani kwa Wanasimba wote waliojitokeza kuipa nguvu timu yetu kwenye mchezo wa kwanza wa fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika. Tumerudi nyumbani, zamu ya kuionyesha Afrika ukubwa wa Simba yetu. #WenyeNchi #NguvuMoja
Ukute ni Maelekezo Kutoka Juu Iliomba Game Iende Chato, Ili Kuitangaza Chato! Sisi tulikua Tufosi Kwa Mkapa Kwa Mkapa! Hii Nchi Utapeli ni mwingi sana ๐๐
Baada ya CAF Kuuthibitisha Uwanja wa Amani Zanzibar, Sasa ni Rasmi Young Afrika Wamefuzu Hatua ya Makundi Kwenda robo fainali.
Hongereni Sana Utopolo ๐ฅ๐
#HABARI Wizara ya Afya nchini imetangaza ongezeko la watu wenye maambukizi ya ugonjwa wa Uviko-19 nchini katika kipindi cha miezi mitatu iliyopita.
Mganga Mkuu wa serikali Dk Grace Magembe amesema kumekuwepo na ongezeko la tetesi zinazohusiana na magonjwa ya mfumo wa njia ya