Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile
Nipashe Tanzania

@nipashetz

The Guardian Ltd
Home of Great Newspapers
Mikocheni Light Industrial Area
P.O. Box 31042
Dar es salaam
Tel:+255 745 700 710
[email protected]

ID: 3194223616

linkhttp://www.ippmedia.com calendar_today22-04-2015 09:31:19

60,60K Tweet

207,207K Followers

26 Following

Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile Photo

Mgombea urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Luhaga Mpina, akiambatana na Mgombea Mwenza wake Fatma Fereji, jana Agosti 25, 2025, walifika katika Mahakama Kuu jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kukamilisha taratibu za kisheria zinazohusu

Mgombea wa ubunge wa Jimbo la Kondoa, kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Dk. Ashatu Kijaji, amekabidhiwa rasmi fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi hiyo, baada ya kikabodhiwa na Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Kondoa, kutoka Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), mkoani Dodoma.

Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi šŸ“ž+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.WhatsApp 0715086344 Agosti 26, 2025

Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi šŸ“ž+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi.WhatsApp 0715086344

Agosti 26, 2025

Katibu wa Halmashauri Kuu ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa (NEC), Itikadi, Uenezi na Mafunzo, Kenani Kihongosi, amesema umoja, mshikamano na upendo ndani ya chama ndio nguzo kuu ya CCM, na kusisitiza kuwa hakuna mtu atakayeweza kukichezea chama hicho.ippmedia.com/nipashe/habari…

Tembelea epaper.ippmedia.com kusoma gazeti lako au wasiliana nasi šŸ“ž+255 745 -700 710 au 0677- 020 701 kwa maelezo zaidi. #NipasheDigital #NipasheMwangaWaJamii #miaka30yakupashahabari

Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida,Thomas Mgonto amechukua fomu kuomba uteuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kugombea ubunge katika jimbo la Ikungi Mashariki. Mgonto ndiyo mtiania aliyeteuliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa

Aliyekuwa mjumbe wa Kamati ya Siasa ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Singida,Thomas Mgonto amechukua fomu kuomba uteuzi wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) kugombea ubunge katika jimbo la Ikungi Mashariki. 

Mgonto ndiyo mtiania aliyeteuliwa na Halmashauri Kuu ya Taifa
Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile Photo

Mgombea ubunge katika Jimbo la Ikungi Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elibariki Kingu, amechukua fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi hiyo katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi mkoani Singida. Kingu akizungumza

Mgombea ubunge katika Jimbo la Ikungi Magharibi kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Elibariki Kingu, amechukua fomu ya uteuzi wa kugombea nafasi hiyo katika ofisi ya Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya Ikungi mkoani Singida.

Kingu akizungumza
Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile Photo

Aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Pangani na Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amechukua fomu ya kugombea ubunge wa jimbo hilo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), kuelekea Uchaguzi Mkuu wa 2025.ippmedia.com/nipashe/habari…

Nipashe Tanzania (@nipashetz) 's Twitter Profile Photo

Mgombea Ubunge wa Jimbo la Hai, mkoani Kilimanjaro, Saashisha Mafuwe, amechukua rasmi fomu ya kugombea kiti hicho katika Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC), huku akitaka.ippmedia.com/nipashe/habari…

Katibu wa Siasa, Uenezi na Mafunzo wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mkoa wa Pwani, David Mramba, amesema chama hicho hakiwezi kuwazuia wanachama wanaoamua kuhama baada ya kukosa kuteuliwa kugombea nafasi za uongozi.ippmedia.com/nipashe/habari…

Chama Cha Mapinduzi (CCM) Zanzibar kimewataka watia nia waliokatwa katika mchakato wa uteuzi wa wagombea wa nafasi mbalimbali za uongozi kuelekea uchaguzi mkuu wasifanye nongwa, kwa kuwa nafasi za kutumikia chama bado zipo nyingi.ippmedia.com/nipashe/habari…

Mgombea urais wa Zanzibar kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dk. Hussein Ali Mwinyi, anatarajiwa kuchukua fomu ya kugombea urais wa Zanzibar Agosti 30, 2025, katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar (ZEC) Maisara.ippmedia.com/nipashe/habari…

Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalum kupitia Chama cha Mapinduzi (CCM), Mariamu Ditopile, leo Agosti 26, 2025, amechukua fomu ya kugombea Ubunge wa Jimbo la Kondoa Mjini kupitia chama hicho.ippmedia.com/nipashe/habari…

Aliyekuwa Mbunge wa Tarime Mjini na mtia nia wa nafasi hiyo kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika uchaguzi mkuu wa 2025, Michael Kembaki, amevunja ukimya baada ya jina lake kuondolewa na vikao vya juu vya uteuzi vya chama hicho.ippmedia.com/nipashe/habari…

Ofisi ya Msajili wa Vyama vya Siasa imebatilisha uteuzi wa Luhaga Mpina kama mgombea wa urais kwa tiketi ya ACT Wazalendo, ikisema hakufuata taratibu za chama hivyo.ippmedia.com/nipashe/habari…

Umoja wa Wanawake (UWT) wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Morogoro Mjini umewaasa wanachama wake, wakiwemo waliotia nia kugombea nafasi za Udiwani, kuvunja rasmi makundi na kuungana kuhakikisha wagombea wa chama hicho kuanzia ngazi ya Urais, Ubunge na Udiwani wanashinda kwa kishindo

Mfadhili na mwanachama wa ACT Wazalendo Mkoa wa Kaskazini Pemba, Haji Khati Kai (SADDAM), ametangaza rasmi kuachana na chama hicho na kujiunga na Chama cha Mkombozi wa Umma (CHAUMMA).ippmedia.com/nipashe/habari…

Mahakama Kuu Kanda ya Morogoro imewahukumu kifungo cha miaka saba jela Shigela Washa Buhimila (32), mkazi wa Tuliza Moyo, Wilaya ya Ulanga, baada ya kukiri kosa la kuua bila kukusudia wakati wa tukio la wizi wa mifugo.ippmedia.co.tz/nipashe/habari…

Vyama vinne vya siasa—UDP, DP, ACT-Wazalendo na CCM—vimeshachukua fomu za kugombea ubunge Jimbo la Bukombe, kuelekea uchaguzi mkuu wa madiwani, wabunge na Rais utakaofanyika Oktoba 29, 2025.ippmedia.co.tz/nipashe/habari…