SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile
SONGA

@niitesonga

Listen & download my tracks on Mdundo.com/a/972

ID: 429822721

linkhttps://youtu.be/efqaQ1cemP0 calendar_today06-12-2011 12:35:00

40,40K Tweet

114,114K Followers

4,4K Following

SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile Photo

Kama utachoma miti hakikisha hauombi mvua, ukiishi kwa adabu ukifa utazikwa kwa heshima chini ya jua. Sipingwi upande huu,sishibi kwa picha ya mkate tu, Wakati ndio huu.. - Fareed K Kubanda ikikupendeza hiki kibao cha 'Utaua Game' kichapwe pale THE CASK tarehe 2 kwenye Bongo Flava Honors.

SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile Photo

ALBUM YA #HAKUNAMATAATAA toka kwa Songa inapatikana kwa njia ya soft copy(whatsapp,email,telegram etc) kwa bei ya Tsh. 10,000/= tu . Ukishafanya malipo utatumiwa ALBUM hii muda huohuo. Namba ya malipo ni 0656337757

Wakati dunia ya usiku na viumbe vyake hutoweka kimya kimya, sisi wanadamu huamka, tukiwa tayari kuitawala siku na kushinda mapambano tukiwa na matumaini na juhudi.

SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile Photo

Hii ngoma utakutana nayo kwenye album ya #HAKUNAMATAATAA, na unatumiwa album WhatsApp, email,telegram etc(utachagua) bei ya album ni tsh 10,000/= tu,namba ya kupata album 0656337757. #SamakiMwenyeKiuNdaniYaMaji

SONGA (@niitesonga) 's Twitter Profile Photo

Mkristo Vs Nikki Mbishi. Freestyle battle hizi tulikuwa tunazisikiliza zamani kwenye radio ,sasa hivi kila Alhamisi ni live pale Micasa Tabata kuanzia saa moja usiku,hakuna kiingilio.