Baharia (@nguyeko_26) 's Twitter Profile
Baharia

@nguyeko_26

Content creator....โœ๏ธ Influencer kitu siwezi ni kukata tamaa never give up ๐Ÿ’ช #YANGA_SC

ID: 1347419803527442436

calendar_today08-01-2021 05:48:47

9,9K Tweet

3,3K Followers

4,4K Following

Baharia (@nguyeko_26) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃ Kuna Muda unawapa Watu Faraja Ambayo hata wewe Mwenyewe, Unahitaji ungepewa na Watu Wengine..๐Ÿ˜ช๐Ÿ’”

Baharia (@nguyeko_26) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃ Bro.. Kama ukimtumia Meseji anakujibu kifupi fupi.. Acha kuendelea kuchat naye Wa hivyo ana msululu wa Wajinga ndio wanampa kiburi...

Baharia (@nguyeko_26) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃ Ma Single Mother Mko kimya Sana, Msidhani Tumesahau kwamba nyie Mkikutana na Baba za Hao Watoto Hamuwanyimi. ๐Ÿƒโ€โ™‚๏ธ๐Ÿคฃ

Baharia (@nguyeko_26) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃ Upendo Sio Kutafuta Mtu Mkamilifu, Bali Ni Kujifunza Kumpenda Mtu Kwa Ukamilifu Wa Mapumgufu Yake..๐Ÿ“Œ

Baharia (@nguyeko_26) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ—ฃ Yaani naweka Status inayokuhusu alafu hui iyangalii., Nyoko wewe Ngoja nikutumie Inbox sasa โ˜น๏ธ