Official nmmari (@nelsonmmari) 's Twitter Profile
Official nmmari

@nelsonmmari

ID: 2909582440

calendar_today07-12-2014 17:24:29

34 Tweet

12 Followers

79 Following

Official nmmari (@nelsonmmari) 's Twitter Profile Photo

Kabla ya kupeana bei tuambiane kabisa maana kuna bando kama Halotel 10Gb kwa 10,000/= kwa mwezi lakini powerless!?,mf huu tusihuhusishe ni kupotezana.

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

2/3 “Mimi ni Mzee wa Kanisa la Anglikana wa miaka mingi, ni nafasi ya Mshauri wa Askofu, nimeshakwenda Nigeria kwa TB Joshua, nimeenda Makao Makuu ya Kanisa langu, Uyahudi nimekwenda mara 4, nimeenda kwenye Kijiji cha Yesu, Galilaya yote ile nilitembea naijua” #MillardAyoBUNGENI

Saidi Hamadi Lugumi (@lugumil) 's Twitter Profile Photo

Habari Ya Asubuhi Tanzania Kumekucha Maneno Yenu Yote Yapo Kwenye Mkoba Huu ,Huu Ni Wakati Wakufanya Kazi Bana Sio Maneno Maneno, Maneno Ya Nn ..? Hii Ni Awamu Ya sita Bana Ni Ya Kazi Ni Yakujipanga Kila Mtu Na La Kwake Kazi Iendeleee Mungu Libariki Taifa Hili 🤝