Ndonojohn (@ndonojohn1) 's Twitter Profile
Ndonojohn

@ndonojohn1

my job

ID: 781016411573452800

calendar_today28-09-2016 06:23:17

299 Tweet

300 Followers

843 Following

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

“Mambo yalianza kwenda mrama kwa upande wa jeshi tangu tulipoenda kupigana vita vya Kagera.” “hakukuwa na sababu za msingi kuhalalisha vita vile,bali mazungumzo tu yangemaliza mzozo uliokuwepo” Haya si maneno yangu ndugu msomaji Uzi👇 MAJI YA BENDERA

“Mambo yalianza kwenda mrama kwa upande wa jeshi tangu tulipoenda kupigana vita vya Kagera.”

“hakukuwa na sababu za msingi kuhalalisha vita vile,bali mazungumzo tu yangemaliza mzozo uliokuwepo”

Haya si maneno yangu ndugu msomaji

Uzi👇

MAJI YA BENDERA
Mr Health💊💉 (@mkunga_og) 's Twitter Profile Photo

FAHAMU CHANZO CHAMIMBA KUHARIBIKA (MISCARRIAGE) Uzi 🧵 Retweet 🔄 kuokoa maisha ya mmoja wetu. Mimba kuharibika au miscarriage ni kitendo cha kupoteza kichanga kwa mama mjamzito kabla ya muda wa kujifungua kawadia. 👇

FAHAMU CHANZO CHAMIMBA KUHARIBIKA (MISCARRIAGE)
Uzi 🧵 
Retweet 🔄 kuokoa maisha ya mmoja wetu.

Mimba kuharibika au miscarriage ni kitendo cha kupoteza kichanga kwa mama mjamzito kabla ya muda wa kujifungua kawadia.
👇
Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

Kama unataka Rais Samia Suluhu atengue uteuzi wa Jaji Biswalo Mganga na kufikishwa Mahakamani, kujibu mashtaka ya kuiba pesa za Plea bargaining #Retweet post. Huyu Biswalo ni Jambazi aliyepewa cheo na Rais.

Kama unataka Rais Samia Suluhu atengue uteuzi wa Jaji Biswalo Mganga na kufikishwa Mahakamani, kujibu mashtaka ya kuiba pesa za Plea bargaining #Retweet post.

Huyu Biswalo ni Jambazi aliyepewa cheo na Rais.