Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile
Mwl. Nyerere Quote

@mwl_quote

Ukurasa huu unakuletea Nukuu muhimu za Mwl Julius K.Nyerere kila J/mos na Siku za Mapumziko (c)2017.
Kunukuu-[Kuwasilisha hoja Mtu kwa maandishi /kusema]

ID: 853130297067667456

linkhttp://yitanzania.wordpress.com calendar_today15-04-2017 06:18:08

216 Tweet

554 Followers

266 Following

Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

“Kutokana na umri wake mkubwa, watu wengi wenye kasoro wamejiingiza kwenye chama hiki. Sasa kimekuwa kama kokoro ambalo wakati mwingine hubeba viumbe visivyokubalika. Tunao watu wa ajabu ndani ya CCM ambao hawafanani na CCM.”Mwl Nyerere.

Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

“Mimi nimeanza siasa na wazee wa Dar es Salaam; na wazee wa Tanzania. Nimeanza nao mapema sana; mapema kweli. Nilirudi kutoka masomoni, Uingereza Oktoba 1952 – miaka 33 nyuma. Wakati huo nikiwa kijana mdogo wa miaka thelathini na kidogo hivi.Mwl Nyerere

Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

“Siku moja, Dosa akanifuata Magomeni Akase... Leo wazee wanakutaka. Wapi? Kwa Mzee Jumbe Tambaza... usiku. Nikasema haya, nitakuja. Nikaenda. Nikakuta wazee wameshakaa; wameniita kijana wao kuniombea dua. Mimi Mkristo, wao Waislamu watupu. Wakaniombea dua za ubani. Tukamaliza.”

Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

“Ninasema yote haya kwa shukrani kwa wazee. Jamaa hawa walikuwa watu wazima wa Dar es Salaam, na mimi kijana mdogo Mzanaki, na Kiswahili changu si kizuri sana – cha matatizo.Mwl Nyerere

Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

"Siku inakuja ambapo watu watachagua kifo kuliko fedheha na ole wao wale watakoiona siku hiyo! Na ole wao wale watakaoifanya siku hiyo isiepukike. Natumaini na kusali kuwa siku hiyo kamwe haitofika" –MwalimuNyerere (Januari, 1966) Mwl nyerere.

BBC News Swahili (@bbcswahili) 's Twitter Profile Photo

China imezindua uwanja mkubwa zaidi wa ndege duniani. Daxing una umbo la nyota ya pembe 6 na imegharimu dola bilioni $11bn.Uwanja huu unatoshana na viwanja 98 za mpira(kama uwanja wa Taifa) au mita laki 7 mraba.#China #Daxingairport #WednesdayMotivation #WednesdayWidsom

China imezindua uwanja mkubwa zaidi wa ndege duniani.
Daxing una umbo la nyota ya pembe 6 na imegharimu  dola bilioni $11bn.Uwanja huu unatoshana na viwanja 98 za mpira(kama uwanja wa Taifa) au mita laki 7 mraba.#China #Daxingairport #WednesdayMotivation #WednesdayWidsom
Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

"Tulipokuwa tukiondoa serikali ya kikoloni tulikuwa na shabaha pia ya kuyaondoa maovu yote yaliyoandamana na serikali ya kikoloni."

Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

"....kazi ni kuziba nyufa tulizoziona katika taifa letu, kazi si kuendelea kulitikisa taifa hili. Litabomoka. Halitabaki." Mwl' Nyerere.

Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

......kujenga mazoea ya kutii viongozi hata katika mambo ya haramu ni dalili ya woga , ni kukaribisha udikteta." Mwl' Nyerere.

Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

"Njia pekee ambayo uongozi unaweza kutunzwa kama uongozi wa watu,ni pale ambapo viongozi wanapokuw na sbb ya kuogopa hukum kutoka kwa watu"

Mwl. Nyerere Quote (@mwl_quote) 's Twitter Profile Photo

"Itakuwa ni kosa na haina umuhimu kudhani kuwa, lazima tusubiri hadi viongozi wafariki , kabla ya kuanza kuwakosoa". Mwl' Nyerere.

Jamii Forums (@jamiiforums) 's Twitter Profile Photo

DODOMA: Rais Magufuli awaomba Watanzania waliohudhuria sherehe za Uhuru kusimama na kuwaombea Wanajeshi(Watanzania) waliofariki ktk shambulio huko Kivu DRC > Askari 14 wamefariki, 44 kujeruhiwa(8 wako mahututi) na wawili wajapatikana #JFLeo

DODOMA: Rais Magufuli awaomba Watanzania waliohudhuria sherehe za Uhuru kusimama na kuwaombea Wanajeshi(Watanzania) waliofariki ktk shambulio huko Kivu DRC

> Askari 14 wamefariki, 44 kujeruhiwa(8 wako mahututi) na wawili wajapatikana
#JFLeo
Mwananchi Newspapers (@mwananchinews) 's Twitter Profile Photo

#MwananchiNukuu “Watu walio hatari sana ni wale ambao wanafikiri kuwa wanajua kila kitu, wala hawana haja ya kujifunza tena. Hii ni tabia mbaya ambayo huzuia kabisa maendeleo.”-Mwalimu Julius Nyerere,Rais wa kwanza wa Tanzania