
Charlie Mumbo
@mumbocharles4
Political scientist, Liberalist, Anti-farcism, Believer in humans, for all, including Gazans.
ID: 1473621593813405696
22-12-2021 11:49:14
3,3K Tweet
283 Followers
169 Following



















Imebainika kuwa siku chache kabla ya kifo cha Albert Ojwang’, maafisa wa GSU walivamia kwa siri makao ya kampuni ya Standard Group wakidai kuchunguza kichwa cha habari bandia kilichosambazwa mtandaoni, ambacho kilimlenga Naibu Inspekta Jenerali Eliud Lagat. Zubeidah Kananu
