Chico inteligente (@muddyartz) 's Twitter Profile
Chico inteligente

@muddyartz

Drawing artist with pensils,ballpointpen,digital drawing and color paints

ID: 1494675969503899653

calendar_today18-02-2022 14:13:38

1,1K Tweet

397 Followers

594 Following

John kalage 🇹🇿 (@kalage_jr) 's Twitter Profile Photo

Wakati mwingine wenye pesa wanakuwa na furaha na muda mwingine wanakosa Furaha Wakati mwingine ambao hawana pesa wanakuwa na furaha lakini pia kuna wakati wanakosa Furaha Ni afadhali utafute tu pesa utatue tatizo moja mana furaha na huzuni ni sehemu ya maisha yetu. ~ Mwana Fa

Nathan Paul S (@fikra_pevu) 's Twitter Profile Photo

Riziki na kifo ujio wake ni kama ajali, yawezekana umebakiza siku chache kufa pia yawezekana umebakiza siku chache kufanikiwa.

Boniface Jacob (@exmayorubungo) 's Twitter Profile Photo

CCM wamechagua mwisho mbaya..! Jana usiku nimempigia Mzee mmoja mstaafu wa serikali aliyewahi kuhudumu kama msaidizi wa mambo ya ulinzi na usalama wakati wa Rais Julius Kambarage Nyerere. Nimemlalamikia namna serikali ya CCM,CCM yenyewe na vyombo vya dola jinsi vilivyochezea

CCM wamechagua mwisho mbaya..!

Jana usiku nimempigia Mzee mmoja mstaafu wa serikali aliyewahi kuhudumu kama msaidizi wa mambo ya ulinzi na usalama wakati wa Rais Julius Kambarage Nyerere.

Nimemlalamikia namna serikali ya CCM,CCM yenyewe na vyombo vya dola jinsi vilivyochezea
PASTA JOSHUA ⛑️ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

Watu wengi wanasumbuliwa na ugonjwa wa figo uku wanasema hakuna dawa za asili hunaweza kupona mimi nakataa dawa za figo zipo nyingi za asili unapona kabisa kwa uwezo wa Mungu. Pichani ni miti wa Mjegu huu mti dawa mzuri kutibu ugonjwa wa figo zimefeli chukua mizizi yake

Watu wengi wanasumbuliwa  na ugonjwa wa figo uku wanasema hakuna dawa za asili hunaweza kupona mimi nakataa dawa za figo zipo nyingi za asili unapona kabisa kwa uwezo wa Mungu.

 Pichani ni miti wa Mjegu huu mti dawa mzuri kutibu ugonjwa wa figo zimefeli 

chukua mizizi yake
PASTA JOSHUA ⛑️ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

Utaniambia hujui huu mmea wa DHAHABU sio?? Mizizi ni Tiba t.me/MiziziTiba Unaweza ukablendi au kuchemsha ukanywa glass mbili kwa siku. Una madini yote muhimu mwilini. VIDONDA VYA TUMBO SUGU UZAZI na KIZAZI Pressure Balance sukari Yako Epusha Cancer. Haina

Utaniambia hujui huu mmea wa DHAHABU sio?? 

Mizizi ni Tiba t.me/MiziziTiba

Unaweza ukablendi au kuchemsha ukanywa glass mbili kwa siku. 

Una madini yote muhimu mwilini. 
VIDONDA VYA TUMBO SUGU 
UZAZI na KIZAZI 
Pressure 
Balance sukari Yako 
Epusha Cancer. 

Haina
PASTA JOSHUA ⛑️ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika. Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵 Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume

Kwa sasa hivi dunia ilipofika Naendelea kutafakari category za kupata mke mwema maana zimebadilika.

Sasa hivi kuna Washing machine kile kigezo cha kujua kufua sio muhimu zama hizi🫵

Sasa hivi kuna Rice cooker,dish washer 
na makorokoro kibao ya kisasa yanayomfanya Mwanaume
ZITATU (@max_zitatu) 's Twitter Profile Photo

Kaka, Miaka 6 ijayo, utakua ukifurahia jambo na familia yako kwenye nyumba yenu mpya, uku ukitizama salio lako la benki lenye 6 figure.. Muamini Mungu na endelea kupambana..

PASTA JOSHUA ⛑️ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

TAFUTA MKE MWENYE SIFA HIZI UKIMPATA MUOE HARAKA SANA. 1. Tafuta mwanamke ambaye hata ukimtumia 5k atakwambia asante na sio kukusonya. 2. Tafuta mwanamke ambaye anajua kuna kupata na kukosa katika maisha. 3. Tafuta mwanamke ambaye anaweza kupunguza matumizi yake yasio ya

Innogh | Graphic Designer 🇹🇿 (@innosgram) 's Twitter Profile Photo

Kama unauza nguo na bado unapost picha nguo zikiwa zimetundikwa kwenye hanger una safari ndefu sana, frame ya pili hapa AI imefanya kazi yake ndani ya sekunde 5. Wateja wanapenda kuona nguo ikivaliwa inakuaje.

Kama unauza nguo na bado unapost picha nguo zikiwa zimetundikwa kwenye hanger una safari ndefu sana, frame ya pili hapa AI imefanya kazi yake ndani ya sekunde 5. Wateja wanapenda kuona nguo ikivaliwa inakuaje.
PASTA JOSHUA ⛑️ (@pastajoshuatz) 's Twitter Profile Photo

Hospital ni Biashara inayolipa sana ,dawa nyingi za hospital zinatuliza hali hazitibu moja kwa moja nipe list ya dawa ambazo umetumia hospital na ukapona kabisa (it will take time Ugonjwa utajirudia tu) dawa za asili kwanini hazina upizani sababu zenyewe sio kupona tu bali

Hospital ni Biashara inayolipa sana ,dawa nyingi za hospital zinatuliza hali hazitibu moja kwa moja

nipe list ya dawa ambazo umetumia hospital na ukapona kabisa (it will take time Ugonjwa utajirudia tu)

dawa za asili kwanini hazina upizani sababu zenyewe sio kupona tu bali
#NIPENI_MAUA_YANGU💐 (@roma_mkatoliki) 's Twitter Profile Photo

Unamsikia binti anasema “Mimi siasa sio vitu vyangu”😁 Kikubwa nakula nashiba nalala naamka! Au kijana wa maana kabisa anakwambia “Mimi ishu za siasa sizimii kabisa zinanipotezea muda” Kikubwa uhai tu!!😁 Binti au kijana huyo huyo akienda kupanda mwendokasi akakutana na

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

Tunapoelekea kwenye uchaguzi wa mazingaombwe, nakuomba ndugu yangu usisahau kuwa ulishaitwa Kenge na anayekuomba kura yako Usisahau pia anayekuomba kura alishajiita chura aliyeziba masikio asikusikilize kero zako

Maria Sarungi Tsehai (@mariastsehai) 's Twitter Profile Photo

‼️Wekeni hii mtakuja kukumbuka niliandika:‼️ Mnaotuwinda na nyie mtawindwa! Mi nipo hapa na nitakuwa shahidi - ee Mwenyezi Mungu nisaidie! Mmetuumiza sana kwa sababu ya uroho wa madaraka na utajiri wa kifisadi! Mmetuteka, kutuharibia biashara, mmetuua na kutufunga! Mmefanya

‼️Wekeni hii mtakuja kukumbuka niliandika:‼️
Mnaotuwinda na nyie mtawindwa! 
Mi nipo hapa na nitakuwa shahidi - ee Mwenyezi Mungu nisaidie!
Mmetuumiza sana kwa sababu ya uroho wa madaraka na utajiri wa kifisadi! Mmetuteka, kutuharibia biashara, mmetuua na kutufunga! Mmefanya