Maalim Seif Foundation (@msshfoundation) 's Twitter Profile
Maalim Seif Foundation

@msshfoundation

Founded 2021. Our mission is to help build #peaceful, #democratic and #resilient societies.

ID: 1455074536991379458

linkhttps://maalimseif.africa/ calendar_today01-11-2021 07:29:58

468 Tweet

1,1K Followers

26 Following

Maalim Seif Foundation (@msshfoundation) 's Twitter Profile Photo

Moja ya mambo yaliyomkera sana #MaalimSeif katika mazungumzo yake na viongozi wa CCM katika kutafuta ufumbuzi wa kudumu wa migogoro ya kisiasa nchini lilikuwa ni lile aliloliita majadiliano yenye nia mbaya (negotiating in bad faith). Suala hilo amelikemea vikali kupitia

Taasisi ya Maalim Seif Foundation imepokea kwa huzuni na majonzi makubwa taarifa za kifo cha ahmed rajab, gwiji wa uandishi wa habari, mchambuzi aliyebobea wa siasa za kitaifa na kimataifa na mzalendo wa kutajika wa #Zanzibar. Sisi Maalim Seif Foundation tutamkumbuka daima kwa ushiriki

Taasisi ya Maalim Seif Foundation imepokea kwa huzuni na majonzi makubwa taarifa za kifo cha <a href="/ahmedrajab/">ahmed rajab</a>, gwiji wa uandishi wa habari, mchambuzi aliyebobea wa siasa za kitaifa na kimataifa na mzalendo wa kutajika wa #Zanzibar. Sisi <a href="/MSSHFoundation/">Maalim Seif Foundation</a> tutamkumbuka daima kwa ushiriki
Friedrich Naumann Foundation Tanzania (@fnf_tanzania) 's Twitter Profile Photo

A Call to Action Moral leadership ensures stability, while its absence leads to chaos, as seen in the Congo crisis,(EAC) and (SADC) are stepping up to address the crisis, emphasizing that diplomatic leadership is essential for restoring peace and safeguarding human rights.

Dotto Rangimoto (@jinikinyonga) 's Twitter Profile Photo

Shairi hili nilitunga kipindi cha msiba wa kipenzi chetu Maalim Seif. Shairi hili limo katika Diwani ya Ahadi Iliyotimizwa ukurasa wa 23. Rabi Mpa Kivuli Seif Uliyeumba mauti, Na siku ya kufariki, Ninakuomba kwa dhati, Njia yake ibariki, Si mwingine ni hayati, Seif mpenda haki.

Shairi hili nilitunga kipindi cha msiba wa kipenzi chetu Maalim Seif. Shairi hili limo katika Diwani ya Ahadi Iliyotimizwa ukurasa wa 23.

Rabi Mpa Kivuli Seif

Uliyeumba mauti,
Na siku ya kufariki,
Ninakuomba kwa dhati,
Njia yake ibariki,
Si mwingine ni hayati,
Seif mpenda haki.
Maalim Seif Foundation (@msshfoundation) 's Twitter Profile Photo

Mwanasiasa wa Miraba Minne, licha ya kufariki dunia, Zanzibar ina mzizimo wa kifo chake: 2025 Uchaguzi Mkuu wa kwanza bila ya Maalim Seif Sharif Hamad #MaalimSeifLegacy

Mwanasiasa wa Miraba Minne, licha ya kufariki dunia, Zanzibar ina mzizimo wa kifo chake: 2025 Uchaguzi Mkuu wa kwanza bila ya Maalim Seif Sharif Hamad

#MaalimSeifLegacy
Maalim Seif Foundation (@msshfoundation) 's Twitter Profile Photo

#MaalimSeif alikuwa ni alama na nguzo kubwa kwenye siasa za #Zanzibar na #Tanzania. Uchaguzi Mkuu wa mwaka huu utakuwa uchaguzi wa kwanza tangu kurudishwa mfumo wa vyama vingi vya siasa mwaka 1992 utakaofanyika bila ya kuwepo #MaalimSeif. Unadhani hilo litakuwa na athari ipi?

"[Uamuzi wa kutufukuza CCM] ulifanywa mnamo saa 6 usiku, kwenye mkesha wa kuamkia tarehe 27 Ramadhan, ambao Waislamu wanaamini ni usiku mtukufu. Kwa mujibu wa Qur'an, ni usiku wa cheo [Laylatul Qadr], na ukifanya jambo lolote jema kwenye usiku huo, basi huwa ni sawa kama

Tribute: Remembering Shaka Ssali We are deeply saddened by the passing of renowned journalist and broadcaster Shaka Ssali, the voice behind Straight Talk Africa on Voice of America. We fondly recall his close friendship with Maalim Seif Sharif Hamad, whom he once hosted on his

Tribute: Remembering Shaka Ssali

We are deeply saddened by the passing of renowned journalist and broadcaster Shaka Ssali, the voice behind Straight Talk Africa on Voice of America.

We fondly recall his close friendship with Maalim Seif Sharif Hamad, whom he once hosted on his
Maalim Seif Foundation (@msshfoundation) 's Twitter Profile Photo

Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Pheroze Nowrojee, mmoja wa Mawakili waliyojitolea kumtetea Maalim Seif Sharif Hamad wakati alipokamatwa, kuwekwa kizuizini na kufunguliwa mashtaka ya kukutwa na nyaraka za siri za Serikali #Zanzibar mwaka 1989. Pheroze

Tumepokea kwa masikitiko makubwa taarifa za kifo cha Pheroze Nowrojee, mmoja wa Mawakili waliyojitolea kumtetea Maalim Seif Sharif Hamad wakati alipokamatwa, kuwekwa kizuizini na kufunguliwa mashtaka ya kukutwa na nyaraka za siri za Serikali #Zanzibar mwaka 1989.

Pheroze
Maalim Seif Foundation (@msshfoundation) 's Twitter Profile Photo

We have received with great sorrow the news of the passing of Pheroze Nowrojee, one of the lawyers who courageously volunteered to defend Maalim Seif Sharif Hamad when he was arrested, detained, and charged with possessing classified government documents in Zanzibar in 1989.

Jambo TV (@jambotv_) 's Twitter Profile Photo

Taasisi inayoenzi maisha ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwanasiasa aliyevitumikia enzi ya uhai wake vyama vya siasa vya CUF na ACT wazalendo Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, imeeleza kusikitishwa na kifo cha Pheroze Nowrojee, Mmoja wa mawakili wabobezi na

Taasisi inayoenzi maisha ya aliyekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar na Mwanasiasa aliyevitumikia enzi ya uhai wake vyama vya siasa vya CUF na ACT wazalendo Marehemu Maalim Seif Sharif Hamad, imeeleza kusikitishwa na kifo cha Pheroze Nowrojee, Mmoja wa mawakili wabobezi na
Maalim Seif Foundation (@msshfoundation) 's Twitter Profile Photo

"Siasa haikuwa chaguo langu la awali, lakini baada ya kuingizwa kwenye siasa, nilitokezea kuipenda. Hiyo ilitokana na wito niliokuwa nauhisi ndani ya nafsi yangu wa kuona nchi yetu inahitaji mageuzi. Na nadhani kuingizwa kwangu kwenye Baraza la Mapinduzi na kwenye vyombo vya juu

"Struggle needs perseverance; it needs commitment and determination." "Mapambano yanahitaji uvumilivu; yanahitaji kuwa na dhamira na ushupavu." - Maalim Seif Sharif Hamad London, 10 Disemba, 2018

"Struggle needs perseverance; it needs commitment and determination."

"Mapambano yanahitaji uvumilivu; yanahitaji kuwa na dhamira na ushupavu."

- Maalim Seif Sharif Hamad 
   London, 10 Disemba, 2018