Msomi Khan (@msomikhan18) 's Twitter Profile
Msomi Khan

@msomikhan18

The Universities blog | Things Fall Apart

ID: 1502901055461498880

calendar_today13-03-2022 06:55:50

50,50K Tweet

56,56K Followers

958 Following

Msomi Khan (@msomikhan18) 's Twitter Profile Photo

Role Models 4 Wa kila Mtu humu! 1. Sir Jeff 2. Mcinika 3. Madenge 4. Idris Sultan Ongezea Role Model mmoja tuone ๐Ÿ˜‚

Dullah_theKing๐ŸŽถ (@dullahtheking2) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kama ni mchezaji basi ameshakuwa na utaratibu wa kufunga kila mara, tunasema rafiki yake mkubwa akiwa uwanjani ni nyavu..... HAT-TRICK ilikamilishwa na "Love song"๐ŸŽถ nadhani mnaikumbuka vizuri, Goal la pili lilikuwa ni "SUMU"๐ŸŽถ na Goal lililofungua dimba na litazidi

๐Ÿ‘‰๐Ÿฝ Kama ni mchezaji basi ameshakuwa na utaratibu wa kufunga kila mara, tunasema rafiki yake mkubwa akiwa uwanjani ni nyavu.....

HAT-TRICK ilikamilishwa na "Love song"๐ŸŽถ nadhani mnaikumbuka vizuri, Goal la pili lilikuwa ni "SUMU"๐ŸŽถ na Goal lililofungua dimba na litazidi
๐Ÿฆ๐ ๐ˆ ๐‡ ๐„ ๐Œ ๐Ž โ„ข (@charliebihemo) 's Twitter Profile Photo

...Sisi Marubani Zetu ni Kurushaa Ndege tu Maana huku Ndio Ndio Mzigo wa pesa upo uhakika Twendeni tukarushee Ndege Fasta kila Raundi 18900 Bofyaa Link bit.ly/SportPesa-BT-X8 #SportPesaUshindi

...Sisi Marubani Zetu ni Kurushaa Ndege tu

Maana huku Ndio Ndio Mzigo wa pesa upo uhakika

Twendeni tukarushee Ndege 
Fasta kila Raundi 18900

Bofyaa Link bit.ly/SportPesa-BT-X8

#SportPesaUshindi
Sonninoโšก (@sonnino123) 's Twitter Profile Photo

Piga Raundi 18,900 kila siku na Kindege! โœˆ๏ธ Rusha kindege Aviator sasa na ushuhudie mvua ya ushindi wa mamilioni ya hela! Kama wewe mtaalamu, Bofya link hii bit.ly/SportPesa-BT-X3 Usikubali kubaki nyuma, chukua nafasi yako ya kunyeshewa na maokoto leo. ๐Ÿ’ธ๐Ÿš€

Piga Raundi  18,900 kila siku na Kindege! โœˆ๏ธ

Rusha kindege Aviator sasa na ushuhudie mvua ya ushindi wa mamilioni ya hela!

Kama wewe mtaalamu, Bofya link hii bit.ly/SportPesa-BT-X3

Usikubali kubaki nyuma, chukua nafasi yako ya kunyeshewa na maokoto leo. ๐Ÿ’ธ๐Ÿš€
๐—๐—ฎ๐—บ๐—ฎ๐—ฎ ๐— ๐˜‚๐˜‚๐˜‡๐—ฎ ๐——๐—ฎ๐˜„๐—ฎ (@gaspinho15) 's Twitter Profile Photo

Leo ndani ya SportPesa Tanzania wewe unakuwa Rubani unarusha Ndege na unashinda na Mkwanja papo kwa Rubani piga Raundi angani 18,900 bure kila siku โœˆ๏ธ Cheza sasa uwe mshindi.๐Ÿคฉ Jisajili sasa kwa Kugusa Link hapo kisha weka Mkwanja ufurahie.๐Ÿ‘‡ bit.ly/SportPesa-BT-X1

Leo ndani ya <a href="/TZSportPesa/">SportPesa Tanzania</a> wewe unakuwa Rubani unarusha Ndege na unashinda na Mkwanja papo kwa 

Rubani piga Raundi angani 18,900 bure kila siku โœˆ๏ธ

 Cheza sasa uwe mshindi.๐Ÿคฉ

Jisajili sasa kwa Kugusa Link hapo kisha weka Mkwanja ufurahie.๐Ÿ‘‡ 

bit.ly/SportPesa-BT-X1
Msomi Khan (@msomikhan18) 's Twitter Profile Photo

Rubani piga Raundi angani 18,900 bure kila siku โœˆ๏ธ Rusha kindege Aviator rain na ushinde mamilioni ya hela unasubiri nini kunyeshewa na maokoto Bofya Link kucheza bit.ly/SportPesa-BT-Xโ€ฆ #SportPesaUshindi

Rubani piga Raundi angani 18,900 bure kila siku โœˆ๏ธ

Rusha kindege Aviator rain na ushinde mamilioni ya hela unasubiri nini kunyeshewa na maokoto 

Bofya Link kucheza bit.ly/SportPesa-BT-Xโ€ฆ

#SportPesaUshindi
Cappuccinoโœจ (@_giftapril_) 's Twitter Profile Photo

Rubani piga round angani 18,900 bure kila siku โœˆ๏ธ Rusha kindege Aviator rain na ushinde mamilioni ya hela unasubiri nini kunyeshewa na maokoto Bofya Link bit.ly/SportPesa-BT-X7 cheza na ushinde. ๐Ÿค‘๐Ÿค‘ #SportPesaUshindi

Rubani piga round angani 18,900 bure kila siku โœˆ๏ธ

Rusha kindege Aviator rain na ushinde mamilioni ya hela unasubiri nini kunyeshewa na maokoto 

Bofya Link bit.ly/SportPesa-BT-X7 cheza  na ushinde. ๐Ÿค‘๐Ÿค‘

#SportPesaUshindi
DOCHA ๎จ€ (@alugandu) 's Twitter Profile Photo

Je wajua njia za uzazi wa mpango kwa wanaume? Karibu upate elimu na huduma za afya ya uzazi na afya kwa ujumla katika viwanja vya Karimjee Posta. Siku ya tarehe 25 mwezi wa tisa kuanzia sa mbili asubuhi mpaka sa kumi jioni . Huduma hizi zitatolewa bila malipo.

Je wajua njia za uzazi wa mpango kwa wanaume? 

Karibu upate elimu na huduma  za afya ya uzazi na afya kwa ujumla katika viwanja vya Karimjee Posta.

Siku ya tarehe 25 mwezi wa tisa kuanzia sa mbili asubuhi mpaka sa kumi jioni .

Huduma hizi zitatolewa bila malipo.
Msomi Khan (@msomikhan18) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi hilo yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Msomi Khan (@msomikhan18) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura mara baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ikulu Jijini Dar es salaam tarehe 20 Septemba, 2024.
Msomi Khan (@msomikhan18) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan amekutana na kuzungumza na Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania (IGP) Camillus Wambura pamoja na Makamishna wa Jeshi Polisi Tanzania, Ikulu Jijini Dar es Salaam.