Ms.Lucy (@ms_luwchy) 's Twitter Profile
Ms.Lucy

@ms_luwchy

God is our refuge and strength,an everโ€“ present help in trouble๐Ÿ™ Psalms 46.1 Proudly Tanzanian ~Simba๐Ÿฆ and Chelsea ๐Ÿ’™

ID: 1115289865678196738

calendar_today08-04-2019 16:26:39

7,7K Tweet

3,3K Followers

415 Following

Sean ๐ŸŽ–๏ธ (@iboysean) 's Twitter Profile Photo

Kama Heche hayupo Kituo cha Polisi Tarime wala Dar Kama Heche hayupo kwenye chombo chochote cha Dola nchini Kama Heche alichukuliwa/kutekwa akiwa Mahakamani Basi Mimi na Wewe tuko hatarini sana popote tulipo sio salama kwani Wasiojulikana wana uwezo wa kufanya lolote lile.

Joseph Edward Silayo (@advocate_silayo) 's Twitter Profile Photo

Jalilu, Ambulance huwa inapiga makelele ikiwa haijambeba mtu ambae ana umuhimu kwako,lakini siku ikimbeba mtu mwenye umuhimu kwako yale makelele yake huwa hayatoshi kabisa.

Twaha Mwaipaya (@twaha_mwaipaya) 's Twitter Profile Photo

UJUMBE WA MATESO KUTOKA KWA MH. TUNDU LISSU AKIWA GEREZANI UKONGA. โ€œNdugu zangu, Kwa wiki kadhaa sasa nimewekwa kwenye total isolation โ€œupweke wa kulazimishwaโ€ Wale wafungwa wenzangu waliokuwa nami kwenye selo moja, ambao walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo, wametolewa wote

UJUMBE WA MATESO KUTOKA KWA MH. TUNDU LISSU AKIWA GEREZANI UKONGA. 

โ€œNdugu zangu,
Kwa wiki kadhaa sasa nimewekwa kwenye total isolation โ€œupweke wa kulazimishwaโ€

Wale wafungwa wenzangu waliokuwa nami kwenye selo moja, ambao walikuwa wamehukumiwa adhabu ya kifo, wametolewa wote
Allan Lucky (Klub A-Z) (@allan_lucky) 's Twitter Profile Photo

Vijana wa Bongo ni selfish sana. Wachache waliopata michongo hawajali maisha magumu wanayopitia wenzao, hawatoi hiyo michongo kwa wengine, hawajali kama kazi wanazozifanya zinaumiza wengine kwa namna moja ama nyingine, wako tayari kuharibia wengine ili wao waendelee kula.

๐‘ด๐’‚๐’Œ๐’‚๐’—๐’†๐’๐’Š ๏ฃฟ (@makaveli_255) 's Twitter Profile Photo

Sasa wazee wa praise team tunawaomba muwe na gamba gumu la kuvumilia spana, mlitubaganza kwa kejeli na matusi hatukuwafanya kitu, ni zamu yetu, hakuna kuvujisha dm tukiomba miten wala kutupeleka lockup, kutesa kwa zamu.

๐.๐Ÿฅ€ (@xnemmyy) 's Twitter Profile Photo

Raha ya Milele uwape Ee bwana na Mwanga wa milele uwaangazie! Wapambanaji wote waliofariki kwenye kupigania haki zao wapumzike kwa Amani. ๐Ÿ™