Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile
Ministry of Finance Tanzania

@mofurt

Official Page of the Ministry of Finance of Tanzania | Ukurasa Rasmi wa Wizara ya Fedha Tanzania.

ID: 1392509359633096706

linkhttps://mof.go.tz calendar_today12-05-2021 15:58:11

3,3K Tweet

14,14K Followers

97 Following

Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), ameongoza ujumbe wa Tanzania kumpokea Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, ambaye amewasili nchini kwa ziara ya kikazi kuanzia tarehe April 26 hadi 29, 2025. Katika ziara hiyo inatarajiwa

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), ameongoza ujumbe wa Tanzania kumpokea Mhe. Tang Wenhong, Naibu Waziri wa Biashara wa Jamhuri ya Watu wa China, ambaye amewasili nchini kwa ziara ya kikazi kuanzia tarehe April 26 hadi 29, 2025.

Katika ziara hiyo inatarajiwa
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), ameishukuru Serikali ya China kupitia Shirika lake la Bima  SINOSURE, kwa kudhamini mkopo wa kibiashara kwa ajili ya ujenzi wa kipande cha tano (lot 5) cha Reli ya Kisasa (SGR) kutoka Isaka hadi Mwanza chenye thamani ya dola

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb)(kulia), akizungumza na Waziri wa Fedha wa Malawi, Mhe. Simplex Chithyola Banda, ndani ya Jengo la Makao Makuu ya Benki ya Dunia, Jijini Washington D.C, wakati wa mikutano ya mwaka 2025 ya majira ya Kipupwe ya Shirika la Fedha

Serikali imesema kuwa ina mpango wa kujenga vituo sita vya forodha mipakani katika mwaka wa fedha ujao wa 2025/26. Hayo yalisema bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Oliver Daniel

Serikali imesema kuwa ina mpango wa kujenga  vituo sita vya forodha mipakani katika mwaka wa fedha ujao wa 2025/26.

Hayo yalisema bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha, Mhe. Hamad Hassan Chande (Mb), alipokuwa akijibu swali la Mbunge wa Viti Maalum, Mhe. Oliver Daniel
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), ametoa rai kwa nchi zilizoendelea kupunguza gharama za mikopo na kutoa muda mrefu wa kulipa madeni ili kuziwezesha nchi zinazoendelea zikiwemo za Afrika kutekeleza miradi ya maendeleo itakayochochea ukuaji wa uchumi na maisha ya

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), amesema kuwa Tanzania iko tayari kushirikiana na wadau mbalimbali zikiwemo serikali, mashirika ya kimataifa, sekta binafsi na asasi za kiraia ili kutafsiri kwa vitendo ahadi za Beijing+30 kuelekea Mkutano wa Nne wa Kimataifa

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), akiangalia bendera ya Tanzania katika Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa (UN), Jijini New York, nchini Marekani, alipohudhuria Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2025 (ECOSOC Forum on Financing for

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), akiwa katika Ubalozi wa Tanzania Jijini NewYork nchini Marekani ambapo aliongoza Ujumbe wa Tanzania kushiriki Jukwaa la Ufadhili wa Maendeleo la Umoja wa Mataifa kwa mwaka 2025 (ECOSOC Forum on Financing for Development Follow-Up

Wizara ya Fedha imeng'ara kwenye Sherehe ya Wafanyakazi (Mei Mosi) Kitaifa, baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa mchezo wa mpira wa miguu katika mashindano yaliyoshirikisha Wizara na Taasisi za Serikali.   Tuzo za washindi katika mashindano mbalimbali zimetolewa na Mhe. Dkt.Samia

Wizara ya Fedha imeng'ara kwenye Sherehe ya Wafanyakazi (Mei Mosi) Kitaifa, baada ya kuwa mshindi wa kwanza wa mchezo wa mpira wa miguu katika mashindano yaliyoshirikisha Wizara na Taasisi za Serikali.

Tuzo za washindi katika mashindano mbalimbali zimetolewa na Mhe. Dkt.Samia
Ministry of Finance Tanzania (@mofurt) 's Twitter Profile Photo

Naibu Waziri wa Fedha, Mhe Hamad Hassan Chande (Mb), ameiagiza Bodi ya Michezo ya Kubahatisha Tanzania (GBT), kuhakikisha sheria na taratibu za michezo hiyo zinafuatwa ili kulinda maadili ya vijana kwa kuendelea kufanya ukaguzi wa mara kwa mara ufuatiliaji wa karibu wa michezo

Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, Wizara ya Fedha, Bw. Benny Mwaipaja, ametembelea Jengo Jipya La Ofisi za Wizara ya Fedha, lililopo Mji wa Serikali-Mtumba, mkoani Dodoma, ambapo Msimamizi wa Ujenzi upande wa Mkandarasi, Bw. Govind Vaghjiyani, alimtembeza katika Ofisi

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), amefika kuhani msiba wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, na ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Fedha na Mipango (1973–1975) na Waziri wa Fedha na Uchumi (1986–1989),

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), akiteta jambo na Waziri wa Ujenzi, Mawasiliano na Uchukuzi wa Serikali ya Mapinduzi-Zanzibar, Mhe. Dkt. Khalid Salum Mohamed, wakiwa katika Makazi ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri

Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), akiteta jambo na Mbunge wa Jimbo la Mwanga mkoani Kilimanjaro, Mhe. Joseph Anania Taday, wakiwa katika Makazi ya aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, na ambaye pia aliwahi

Makamu wa Pili wa Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Mhe. Hemed Suleiman Abdulla, akisalimiana na Waziri wa Fedha, Mhe. Dkt. Mwigulu Nchemba, PhD (Mb), walipofika kuhani msiba wa aliyekuwa Makamu wa wa Rais wa Kwanza wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Waziri Mkuu Mstaafu, na