@mofu_ngoya
ID: 1253614563129544706
calendar_today24-04-2020 09:19:54
2 Tweet
60 Followers
371 Following
5 years ago
Aliyewahi kuwa Mbunge wa Arumeru Mashariki, Joshua Nassari kupitia CHADEMA amejiunga Chama cha Mapinduzi (CCM). Nassari alivuliwa ubunge Machi 2019 kutokana na kutohudhuria mikutano mitatu ya bunge mfululizo bila ruhusa.
4 years ago
Inna lillah wainna ilayhir rajiuun. I am indeed saddened by the news of your sudden demise. PKA dada yangu, Teddy Mapunda. #HK