
Small Boy Big Things
@minyarothomas
Caeteris paribus, Biology should be the only bio you ought to read.
ID: 483653905
05-02-2012 07:43:59
40,40K Tweet
1,1K Followers
1,1K Following



















Baba mzazi wa Mwanamtindo Maarufu Flaviana Matata Mzee Francis flugens matata ambaye ni kada wa CCM anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa shinyanga kwa tuhuma za kuhamasisha maandamano Mzee Francis ana zaidi ya Masaa 24 toka amekamatwa na mpaka sasa hajapewa dhamana
