millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile
millardayo

@millardayo

Award winning TV/Radio Personality | Hosting Amplifaya on CloudsFM |Journalist from Tanzania covering East Africa and beyond | Bookings [email protected]

ID: 132880407

linkhttp://www.millardayo.com calendar_today14-04-2010 12:30:30

150,150K Tweet

3,1M Followers

484 Following

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Baada ya tamko la Familia ya aliyekuwa Rais wa Zambia Edgar Lungu ambalo yalikuwa ni maagizo yake ya kwamba mpinzani wake wa kisiasa na Rais wa sasa Hakainde Hichilema hapaswi kufika popote karibu na mwili wake familia imefikia makubaliano na serikali juu ya mazishi ya Kiongozi

Mbunge Prof. Shukrani Elisha Manya ametaka watu wanaowekwa kujifunza na kupata uzoefu katika utekelezaji wa miradi ya kimkakati ya kuwa chachu ya maendeleo ambapo serikali na kuhakikisha wanakuja kuchukua nafasi katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimaendeleo na wasiwekwe

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amesema Ulaya na Marekani kwa sasa hawafanyi vizuri kiuchumi kama ilivyo kwa Nchi za Afrika Mashariki ikiwemo Tanzania ambapo ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kuendelea kukusanya fedha ili zitumike kutekeleza miradi ya ndani

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Kampuni ya TotalEnergies Marketing Tanzania Limited (@totalenergies_tz) imezindua kituo kipya cha mafuta katika eneo la Ununio, Wilaya ya Kinondoni jijini Dar es Salaam, ikiwa ni sehemu ya mkakati wake wa kuendelea kua karibu na wateja wake. Kituo hicho kimeifanya TotalEnergies

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Christian Makonda, ameutangazia umma kuwa uwanja wa ndege wa Arusha ambao ulikuwa unatumika kwa safari za ndani tu, sasa utatumika kwa safari za nje ya nchi ili kurahisisha Mkoa huo kufikika kirahisi. Makonda ametoa kauli hiyo leo June 16, 2025 wakati

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Mamlaka wa Mapato Tanzania (TRA) kukusanya kodi kirafiki na kutotumia nguvu ikiwemo kufunga akaunti za Wafanyabiashara wasiolipa kodi. Akiongea leo June 16,2025 wakati akifungua jengo la TRA Mkoa wa Simiyu, Rais Samia amesema

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameitaka Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) kukusanya pesa kirafiki na amewasihi Wafanyabiashara kulipa kodi ili ziweze kuendesha miradi nchini ambapo amesema masharti ya kupewa misaada na mikopo kutoka nje yamekuwa yakiongezeka siku hadi

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Kampuni ya kizalendo kutoka Tanzania ya Mofat imepewa mkataba wa miaka 12 na Serikali kupitia Wakala wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es salaam (DART) kwa ajili ya kutoa huduma kwenyr awamu ya pili ya mfumo wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT), kwa safari za kutoka Gerezani hadi Mbagala.

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Delilah Charles Kimambo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili akichukua nafasi ya Prof. Mohamed Yakub Janabi aliyechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika.

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan amemteua Dkt. Delilah Charles Kimambo kuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili akichukua nafasi ya Prof.
Mohamed Yakub Janabi aliyechaguliwa kuwa Mkurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika.
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Kampuni ya ABC (@abcemporio.tz & @abcceramics_tanzania) inayojihusisha na uuzaji wa vifaa vya ujenzi kupitia maduka yake ya Dar es salaam na Zanzibar imefungua tawi jipya Jijini Mwanza. Mabingwa hawa kwenye tasnia ya uuzaji wa vifaa vya ujenzi, wamejikita sio tu kwenye ubora

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Marekani, Donald Trump amelazimika kukatisha mkutano wa kilele wa kundi la nchi saba tajiri kiviwanda G7 unaofanyika nchini Canada, akisema kuwa ataondoka mapema na kurejea Marekani, kutokana na hali inayoendelea Mashariki ya Kati. Katika mkutano huo, Trump alionya

Rais wa Marekani, Donald Trump  amelazimika kukatisha mkutano wa kilele wa kundi la nchi saba tajiri kiviwanda G7 unaofanyika nchini Canada, akisema kuwa ataondoka mapema na kurejea Marekani, kutokana na hali inayoendelea Mashariki ya Kati.

Katika mkutano huo, Trump alionya
millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mkuu wa wilaya ya Makete mkoani Njombe Kissa Kasongwa ameagiza wakazi wa wilaya hiyo kuchukua tahadhari dhidi ya moto unaoteketeza misitu na kupoteza fedha nyingi kila mwaka hali inayopelekea kurudisha nyuma uchumi wa wanaMakete. DC Kissa ameeleza hayo wakati akizungumza na

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mwanamke Mmoja aliyefahamahamika kwa Jina la Catherine Fito,mwenye umri wa miaka 21 mkazi wa Umanda kata ya kalunde Manispaa ya Tabora,amejiua kwa kunywa sumu ya kuulia wadudu,huku chanzo cha kifo hicho ikiwa ni wivu wa mapenzi. Akithibisha kutokea kwa tukio hilo,Kamanda wa

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kushangazwa na kitendo cha Mbunge wa Kisesa Luhaga Mpina kutoa kero ambazo zimelenga kupata umaarufu wa kisiasa kwa Wananchi na sio kulisaidia Jimbo lake ambapo amesema aliyosema Mpina yanaonesha hajalitendea haki Jimbo lake na

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Mbunge wa Jimbo la Kisesa Luhaga Mpina amewasilisha changamoto mbalimbali za Wananchi wa Jimbo lake mbele ya Rais wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ambapo amesema kwamba Wananchi wa Kisesa bado wanamdai Rais Samia miradi ya maendeleo. Mpina ameyasema hayo leo June 17, 2025

millardayo (@millardayo) 's Twitter Profile Photo

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan ameelekeza majeruhi wote wa ajali iliyotokea Meatu Mkoani Simiyu wakati wa katika ziara yake Mkoani humo watibiwe kwa gharama za Serikali. Waziri wa Afya Jenista Mhagama amesema hayo leo June 17, 2025