
Mhogo Point Arusha
@mhogopoint
MHOGO POINT ARUSHA
STAND NDOGO ARUSHA, MKABALA NA WASHINGTON BAR
0786761209
ID: 1415046871593230338
13-07-2021 20:34:11
9 Tweet
3 Followers
53 Following




Vyakula vingi vya Asili vimekua adimu sana hasa kwenye migahawa na hii yote ni kutona na watu wengi kuacha Asili, hasa bara la Africa. Nitajie migahawa inayo pika vyakula vya Asili kama vile Mhogo, magimbi nk. Mimi naanza na Mhogo Point Arusha
