Mhashamu Halal Methuselah (@methu25) 's Twitter Profile
Mhashamu Halal Methuselah

@methu25

TO GOD BE THE GLORY

ID: 1851522288643911680

calendar_today30-10-2024 07:11:53

4,4K Tweet

49 Followers

267 Following

Mwinshehe๐Ÿ•Š๏ธ (@mwinshehe07) 's Twitter Profile Photo

Kiwanda kikubwa cha kisasa cha kutengeneza mafuta ya kupikia kinaweza kugharimu TSh bilioni 30+! na kuzalisha mafuta tani 500+ kwa siku na kitaajiri watu wasiopungua elfu kumi! Hela ya kujenga kiwanda kipya ni sawa na hela iliyotumika kukarabati uwanja wa Benjamin mkapa 2023

Mhashamu Halal Methuselah (@methu25) 's Twitter Profile Photo

Some of the embassies za bongo huko nje ni kama zinatafuna tu kodi zetu..!! Imagine unafungua ubalozi Zimbabwe/ Somalia/ Jamaica/ Tonga au Trinidad and Tobago..!!?

Mhashamu Halal Methuselah (@methu25) 's Twitter Profile Photo

Hii wizara ni typical white elephant project..!! Bajeti kubwa kila mwaka lakin bado wanafunzi wanakaa chini/ vyoo hakuna/ training facilities hakuna/ walimu hakuna..!

Mhashamu Halal Methuselah (@methu25) 's Twitter Profile Photo

Imagine thinking that SAKA isnโ€™t better than both Kvara and that kid Doue bcos of league 1 tax..! This app is full of shit takes man..!! Hii PSG icheze EPL na wachezaji wake light feathers inaweza isitoboe top 4

Mhashamu Halal Methuselah (@methu25) 's Twitter Profile Photo

Still bado haiondoi ukweli Kwamba kuna shule za dini kama unaona mwanao anahitaji zaidi elimu ya dini kujiandaa na after life kuliko ya maisha ya kidunia jitafute umpeleke huko kama huwezi muachishe ili asome dini..!