Khaled (@meetkhaled_) 's Twitter Profile
Khaled

@meetkhaled_

Travel & Lifestyle Content Creator | Brand Influencer ✈️ I Help You Travel 🇹🇿🇰🇪 📸 Let's Create Good Moments Together Business: 📧[email protected]

ID: 1466489051431714817

calendar_today02-12-2021 19:27:12

21,21K Tweet

3,3K Followers

286 Following

Khaled (@meetkhaled_) 's Twitter Profile Photo

Cristiano Ronaldo at 17 years old: 19 appearances, 5 goals, 4 assists. Lionel Messi at 17 years old: 9 appearances, 1 goal, 0 assists. Lamine Yamal at 17 years old: 100 appearances, 22 goals, 33 assists.

Salym (@salymdev) 's Twitter Profile Photo

One thing you will never regret building it is a SaaS (Software as Service) business. Its a long-term Investment that will keep on paying you forever.

Khaled (@meetkhaled_) 's Twitter Profile Photo

𝙶𝙰𝙱𝚈 𝙻𝙾𝚅𝙴𝚂 𝚃𝙴𝙲𝙷 6.0 They don't do things that don't scale so wanafikiria scaling instead of selling ata kama ni watu wachache Formula ni hii, Anza na tatizo, then product, then wapatie watu wenye ilo tatizo iyo product pima matokeo ata kama ni watu 5 au 10 👇

Seif Mselem (@seifjamal21) 's Twitter Profile Photo

Kuna sabb kubwa mbili... 1. Product Market Fit Huwezi kupata revenue kama kile unachokiuza hakuna mtu anakihitaji. Hakikisha kwanza startup inatatua tatizo la kweli sokoni. Na ukitaka kujua kama startup imefikia PMF ni ukiona imeanza kukua kwa word of mouth. Mfn: Duolingo 👇🏻

Khaled (@meetkhaled_) 's Twitter Profile Photo

Paul Graham anasema ni muhimu zaidi kwa startup kuwa na co-founder or founders na sio solo Ila it's to tough kumpata co-founder kama the whole idea ilikua ya mtu mmoja Especially kwa Tanzania

Khaled (@meetkhaled_) 's Twitter Profile Photo

Kwenye pita pita zangu YouTube nikabonyeza Video ya Shark Tank Am Glad Nimebonyeza, Kama Wewe ni Mfanya Biashara Nenda Hapo Bonyeza Kuna Vitu Vingi Sana na Data za Muhimu Mnoo inabidi uwe nazo Very Important Kama Unataka Kufanya Scaling ya Biashara yako

Seif Mselem (@seifjamal21) 's Twitter Profile Photo

When the pain of staying the same is greater than the pain of change, that's when true growth happens. Cc: Coach Macha Msemakweli.

When the pain of staying the same is greater than the pain of change, that's when true growth happens.

Cc: Coach Macha Msemakweli.
🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

Generational Trauma. Kama ambavyo tunacope tabia, sura, maumbile au hata magonjwa basi trauma pia husafiri kutoka generation moja hadi nyengine. Unapoheal wewe means umeheal na kizazi chako. Inaaminika kwenye familia yupogo mhanga mkuu wa hili. Mtoto wa kwanza mara nyingi.

🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

Unaweza kujua ulikuwa mtu gani kwenye maisha yako ya zamani kwa kuangalia pattern ya vitu unavyopenda zaidi na kuchukia zaidi. Kama unapenda sana nature, unapenda kuwa mwenyewe, unavutia na elimu za kiroho na sanaa unaweza kuwa ulikuwa witch, healer au msanii(artist).

FRANCIS ❖91688❖ (@inframe_tz) 's Twitter Profile Photo

Tumia Njia Hizi Kutajirika, Uza Bidhaa Kati Ya Hizi Kwa Watu Wengi Kadiri Uwezavyo 1. Uza Matumani 2. Uza Attention 3. Uza Connections 4. Uza Ujinga 5. Uza Akili 7. Uza Story Na Kifaa Kitakacho Kusaidia, ↳ Kufikia Watu Wengi. Ni__ [ INTERNET ] .. ^Abracadabra^ “

BABYGIRL❤︎ (@eddaafrica) 's Twitter Profile Photo

Doing business with my mom is hard🤣 nimejisahau nimemfokea and now I feel so bad😭😭she just said “nisamehe mwanangu” I hung up chozi likanitoka

🕷️ (@444holywitch) 's Twitter Profile Photo

Healing sio destination, ni journey. Hakuna uko wa kiakili wa kusema sasa nimeheal mazima bali ni mchakato wa kutoka kwenye kiwango flani cha maumivu na kuingia kwenye kiwango flani huku ukiendelea kuifurahia safari yako. Healing sio kusahau yaliyotokea, ni kuyaacha yaende.

SIR JEFF⚡🇹🇿 (@sirjeff_d) 's Twitter Profile Photo

99% ya celebrities & influencers wa TZ ni taka-taka🚮 Hakuna kipaji. Hakuna brand. Hakuna niche. Hakuna story. Hakuna value. Hakuna ubunifu Mtu anapata umaarufu kisa trako, makelele & uchawa, skendo za kipumbavu, vibes nk. Hii yote inasababishwa na kuwa na jamii ya watu VILAZA