
Mariagoreth Charles
@mcgoreth
Knowledge Management Strategist I Brand Architect | Storyteller | Logophile I Speech Writer I Learner I Somedays I am a poet.
ID: 458069506
08-01-2012 04:28:49
2,2K Tweet
661 Followers
1,1K Following

#TemboNickel #KabangaNickel #SisiniTemboNickel #WeAreTemboNickel Benedict Busunzu Gerson Msigwa Maelezo News Jamii Forums Msemaji Mkuu wa Serikali millardayo Matokeo ChanyA+ Tumeyamadini


Congratulations to Benedict Busunzu and the whole Tembo Nickel team. #Tanzania #EnergyTransition #NYSE. cc: US Embassy Tanzania.







Leo Julai 6,2023 kwa mara ya kwanza Tanzania imeingia katika soko la hisa la New York Stock Exchange pamoja na masoko ya kimataifa kupitia kampuni mama ya Tembo Nickel, Lifezone Metals. Kampuni ya Tembo Nickel ni kampuni inayoendeleza Mradi wa Kabanga Nickel,Ngara Benedict Busunzu

LifeZone Metals Kampuni Mama ya Tembo Nickel imeanza kuuza Hisa zake kwenye Soko la NewYork #SisiNiTemboNickel #Mining4Development @KabangaNickel @LifeZoneMetals Jamii Forums millardayo Msemaji Mkuu wa Serikali Gerson Msigwa Maelezo News JAMVI LA HABARI Matokeo ChanyA+



#TzNewYorkStockExchange "Lengo la Kampuni yetu ni kudumisha nishati salama kwa ulimwengu kwa kuzalisha Nickel kwa njia salama kwa mazingira na kuleta majibu sahihi kwa uchafuzi wa hali ya hewa duniani," Mwenyekiti wa Tembo Nickel Lifezone Metals, Keith Liddell. Benedict Busunzu






