Travellah (@mbarakahmkushi) 's Twitter Profile
Travellah

@mbarakahmkushi

Boxing 🥊🥊🥊and Mechanics 🔧🔩 🏍🛵🛺
Muslim ☪️ 🕌
Hustler2️⃣6️⃣

ID: 1742608997071323136

calendar_today03-01-2024 18:09:31

1,1K Tweet

719 Followers

1,1K Following

MJUKUU (@wideedson) 's Twitter Profile Photo

Hakuna Media yoyote jana iliyotoa taarifa kilichojili kanisani kwa Gwajima ila jamaa kaweza, kiufupi jamaa anatupambania sana tuamke kutoka usingizini mwenyezi mungu amtunze aiseeh 🙏🏾

Hakuna Media yoyote jana iliyotoa taarifa kilichojili kanisani kwa Gwajima ila jamaa kaweza, kiufupi jamaa anatupambania sana tuamke kutoka usingizini mwenyezi mungu amtunze aiseeh 🙏🏾
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Huyu hadaiwi na Mtu....Siyo Muhalifu. ...Hajadhulumu Mtu kitu chochote. Tatizo lake kubwa kama lipo ni kuwa Mkweli... Tatizo lake ni kuwa nafikra huru.... Tatizo lake ni kuipenda Tatizo lake ni kukosoa kisichokuwa sawa Tatizo lake ni kuipenda na kuota kuwa na TANGANYIKA YETU.

Huyu hadaiwi na Mtu....Siyo Muhalifu. ...Hajadhulumu Mtu kitu chochote.
Tatizo lake kubwa kama lipo ni kuwa Mkweli...
Tatizo lake ni kuwa nafikra huru....
Tatizo lake ni kuipenda
Tatizo lake ni kukosoa kisichokuwa sawa
Tatizo lake ni kuipenda na kuota kuwa na TANGANYIKA YETU.
KIDUKU (@tanzaniaonejezi) 's Twitter Profile Photo

Vijana Wawili JOSEPH MRINDOKO Na JACKSON KABALO Wanaounda Kundi La “WACHOKONOZI” Wamevamiwa Na Watu Wenye Silaha Waliojitambulisha Kuwa Ni Askari Polisi Wakiwa Nyumbani Kwao Maeneo Ya Maji Ya Chai, Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. #FreeWachokonozi Naombeni RT 200🤝

Vijana Wawili JOSEPH MRINDOKO Na JACKSON KABALO Wanaounda Kundi La “WACHOKONOZI” Wamevamiwa Na Watu Wenye Silaha Waliojitambulisha Kuwa Ni Askari Polisi Wakiwa Nyumbani Kwao Maeneo Ya Maji Ya Chai, Wilayani Arumeru Mkoani Arusha. #FreeWachokonozi

Naombeni RT 200🤝
Boniface Mwabukusi (@mwabuk2boniface) 's Twitter Profile Photo

Nimepokea Taarifa kuhusu kukamatwa na kutoonekana kwa vijana hawa katika kituo cha Polisi Arusha au Usariver ilikodaiwa wamepelekwa. Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv.David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa

Nimepokea Taarifa kuhusu kukamatwa na kutoonekana kwa vijana hawa katika kituo cha Polisi Arusha au Usariver ilikodaiwa wamepelekwa.

Nimezungumza na Kiongozi wa Chama cha Mawakiki kanda ya Kaskazin ndugu Adv.David Shillatu kufuatilia kwa haraka jambo hili kupitia Viongozi wa
JAPHET MATARRA (@eng_matarra) 's Twitter Profile Photo

Kwa Neema ya Mungu, hela YOTE Tshs 2,368,500/= ya MATIBABU imetimia. Niwashukuru kwa Moyo wa dhati watu wote mlionichangia. Mmepigania maisha yangu, hakika mmenigusa sana, SITASAHAU. Kikubwa muendelee kuniombea, J3 natarajiwa kufanyiwa upasuaji mara mbili. Mungu awajaze mema 🙏

Kwa Neema ya Mungu, hela YOTE Tshs 2,368,500/= ya MATIBABU imetimia. Niwashukuru kwa Moyo wa dhati watu wote mlionichangia. Mmepigania maisha yangu, hakika mmenigusa sana, SITASAHAU.

Kikubwa muendelee kuniombea, J3 natarajiwa kufanyiwa upasuaji mara mbili. Mungu awajaze mema 🙏
Star_One🎖️ (@kstar_one9) 's Twitter Profile Photo

UNSTOPABLE 👽 kwenye INPLAY waliopo kwenye Groups zangu wanaelewa Balaa la mule👽🔥🔞 Jana Nimepiga 4 Kutoka mtaji wa 100K mpaka 700K++ kwa INPLAY 4 Tuu🔥🔞 Jisajili PARIPESA TUSHINDE SOTE⤵️ paripesa.bet/cena Promo Code andika STARONE Retweet Kisha Drop Namba👇👇

UNSTOPABLE 👽

kwenye INPLAY waliopo kwenye Groups zangu wanaelewa Balaa la mule👽🔥🔞

Jana Nimepiga 4 Kutoka mtaji wa 100K mpaka 700K++ kwa INPLAY 4 Tuu🔥🔞

Jisajili PARIPESA TUSHINDE SOTE⤵️ 

paripesa.bet/cena

Promo Code andika STARONE 

Retweet Kisha Drop Namba👇👇
SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

Hili bango lisambae Nchi nzima. Kila mpenda HAKI hawezi kuchekea na kukalia kimya UTEKAJI. #kataautekaji #TUTAKUWEPO🫵🏾😎

Hili bango lisambae Nchi nzima. 

Kila mpenda HAKI hawezi kuchekea na kukalia kimya UTEKAJI.

#kataautekaji 

#TUTAKUWEPO🫵🏾😎