Matiku_peter (@matiku_peter) 's Twitter Profile
Matiku_peter

@matiku_peter

God over everything. music football movie

ID: 744528878891327490

calendar_today19-06-2016 13:54:52

1,1K Tweet

839 Followers

829 Following

Lyrically Inclined (@japharlyrically) 's Twitter Profile Photo

In no particular order these are the most Most Influential Artists ever 2pac Bob Marley Michael Jackson BIG Lil Wayne Kanye West Eminem Bob Dylan Otis Redding Jay Z Andre 3K The Beatles Jimmy Hendrix Beyoncรฉ Aretha Franklin Whitney Houston Steve Wonder Nas

Fortunatus Buyobe (@fbuyobe) 's Twitter Profile Photo

The story dates as back as the 1980s, Mwaka 1980, ndugu Khauseni Kamela alimuuzia shamba ndugu Flavian Mathew Nyendikuu maeneo ya Kijichi Mtongani, Mbezi beach Wahusika wote wawili ni wazee sana niandikapo wakati huu.

Ki Messi Mweusi ๐Ÿ (@1960remija) 's Twitter Profile Photo

Kwa hiyo wakala wa Mpanzu amesema kijana wake yupo Tanzania kwa mkopo na mmekaa kimya, wakala akaenda mbali na kusema kijana wake ameshasaini timu kubwa bado mmekaa kimya? Wakuu mbona mnajua sana kutunza siri? Sijapenda. ๐Ÿ˜Š

S O B R I E T Y โ˜˜๏ธ (@hermiosso_17) 's Twitter Profile Photo

Baba Yetu uliye mbinguni. Jina lako litukuzwe. Ufalme wako ufike. Utakalo lifanyikeย duniani kama mbinguni. Utupe leo mkate wetu wa kila siku. Utusamehe makosa yetu. Kama nasi tunavyowasamehe na sisi waliotukosea. Usitutie katika kishawishi. Lakini utuopoe maovuni, Amina๐Ÿ™

Esssiiie Kapambala (@dadaestie) 's Twitter Profile Photo

Plastic SILICONE Material Full Set 4 Pieces 240,000/= Size Kubwa 100,000/= Size Ya Kati 90,000/= Small Size 70,000/= Napatikana Kariakoo Mtaa Wa TANDAMTI NA SKUKUU (SWAHILI) Mkabala Na Soko Jipya 0659647989 Soko Letu Delivery Popote KARIBUNI SANA

Plastic SILICONE Material 

Full Set  4 Pieces 240,000/=

Size Kubwa 100,000/=
Size Ya Kati  90,000/=
Small Size 70,000/=

Napatikana Kariakoo Mtaa Wa TANDAMTI NA SKUKUU (SWAHILI) Mkabala Na Soko Jipya 

0659647989
<a href="/sokoletutz/">Soko Letu</a>

Delivery Popote 
KARIBUNI SANA