MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile
MARTIN MAVOA

@martinmavoa1

ID: 2537510931

calendar_today09-05-2014 18:17:52

243 Tweet

147 Followers

1,1K Following

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 10, 2025 Jana tuliishia Part 84 so leo tunaendelea na Part 85 Mhe. Lissu ameingia, Majaji wote watatu wameingia. Leo humu ndani wameweka Ma TV mengi sana. Sijui ndio wanataka kucheza hizo video lipo lingine la kama inch 70 huko lipo

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 86 Mhe. Lissu anaendelea kumfanyia Insp Kaaya Cross-examination Mhe. Lissu: Mimi ndio nakuuliza Maswali au wewe? Haya unafahamu katika kesi ya Mtikila kupinga kifungu cha Katiba kinachozuia wagombea binafsi kilikubaliana na hoja zake na kifungu

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 87 Mhe. Lissu : waeleze Majaji kama unafahamu kama mwezi January 1991 Rais Mwinyi aliunda tume ya Rais ya kama twende na chama kimoja au vingi? Kaaya: Sina kumbukumbu hizo. Mhe. Lissu : Tarehe 17 Feb. 1992 tume hiyo maarufu kama Tume ya Nyalali

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

Kihistoria na hata katika maisha ya sasa, kusema ukweli mara nyingi huja na gharama — kuonewa, kupingwa, au hata kupewa adhabu na wale wasiopenda ukweli huo. Lakini pia, ukweli una nguvu ya muda mrefu. Unaweza kuteswa leo kwa ajili ya kusema ukweli, lakini kesho watu wataona

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

Huko Bukoba, wakili ametekwa Ijumaa asubuhi wakati anaenda kazini. Anaitwa Dunstan Mujaki, ni advocate wa kujitegemea, Bukoba mjini. Utekaji umekuwa suala la kawaida; kila mtu yuko hatarini.

Huko Bukoba, wakili ametekwa Ijumaa asubuhi wakati anaenda kazini. Anaitwa Dunstan Mujaki, ni advocate wa kujitegemea, Bukoba mjini.

Utekaji umekuwa suala la kawaida; kila mtu yuko hatarini.
MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Oktoba 13, 2025 Last time tuliishia Part 89 so leo unaendelea na Part 90 Mahakama imeanza. Majaji wameingia wameingia, Mhe. Lissu ameingia akiwa amepiga kombati ya Kaki. Wanachama na Viongozi nao wapo. Ni siku nyingine tena, Leo

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 91. Mhe. Lissu: waeleze majaji kama hicho cheo cha special seargent kipo kwenye vyeo vya Police hapa Tanzania. Kaaya: Nilisema nimehudhuria mafunzo ya Special seargent na sio cheo cha special Sergeant. Mhe. Lissu: Waheshimiwa Majaji someni

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 92 Mhe. Lissu: Haya tutumie neno la kuandaa. kwahiyo unaandaa nilivyotaja hapo juu. Wakati gani sasa? Kaaya: Wakati unajisajili. Mhe. Lissu: Baadae unapewa masharti ya kuingia si ndio baada ya hapo? Kaaya: Ndio Mhe. Lissu: Then unapewa URL?

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 93 Mhe. Lissu: Ulienda kumuona saa nne na ulipomaliza ni saa nne hiyo hiyo? Sasa uliwezaje? Kaaya: Lisaa lina dakika 60 kwahiyo kwenye hiyo mida ya saa nne ndio nilimaliza hayo yote. Mhe. Lissu: Ulipofika kwa SSP George ulimueleza ulichoona

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 94 Mhe. Lissu: Ulienda kumuona saa nne na ulipomaliza ni saa nne hiyo hiyo? Sasa uliwezaje? Kaaya: Lisaa lina dakika 60 kwahiyo kwenye hiyo mida ya saa nne ndio nilimaliza hayo yote. Mhe. Lissu: ulipofika kwa SSP George ulimueleza ulichoona

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 95 Kaaya: Naomba Mahakama ilinde taarifa zangu binafsi naomba tulizingatie hilo. Jaji Ndunguru: Shahidi unapaswa kurelax kabisa. Kama kuna swali la kukudhalilisha hatutaruhusu ujibu. Tutaingilia kati. Wewe kama shahidi fanya kazi yako. Hayo

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 96 Mhe. Lissu: Mtu mwenye hiyo account ya kawaida hiyo ya Gmail anaweza kuweka video huko YouTube? Kaaya: ni sahihi anaweza hata live streaming anaweza. Mhe. Lissu: kwahiyo ni ushahidi wako kwamba mtu yeyote mwenye Gmail account anaweza kurusha

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 97 Shauri linaendelea Tumerejea mahakamani. Mawakili Serikali wamejitambulisha lakini shahidi haonekani hapa MAHAKAMANI. Watu wanacheka Mahakama imesimama kwa muda Shahidi hayupo , sijui huyu Mwamba amechimba ni vituko sana. Watu

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 98 Mhe. Lissu: Sasa tuambie wewe ulikuwa na mashitaka gani? Kaaya: Mimi sikuwa na mashitaka. Mhe. Lissu: Kwanini hukupanda cheo wewe? Maana umetumia miaka 15 kupanda cheo na sio 9 kwa mujibu wa PGO? Kaaya: Sio mimi tu. Mhe. Lissu: nataka

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 99 Mhe. Lissu: Waeleleze majaji kama kwenye hiyo kesi ya Kisutu umeandika maelezo ya shahidi na waeleze kama ni kweli au si kweli ulikwisha ma kutoa ushahidi tarehe 16/06/2025. Anasimama Job Mrema anasema Mh. Jaji hili jambo lilishakatazwa

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 100 Mhe. Lissu: Sasa hayo maneno yalisemwa mbele ya watu wote hao watia nia na viongozi wengine. Kaaya: Sijui kama walisikia wote Mhe. Lissu: unafahamu kuna kosa linaitwa mispresion of treason yaani kupata taarifa za kigaidi na usizitoe polisi

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 101 Kaaya: Sijaidentify kama ni kosa la uhaini. Mhe. Lissu: Pia unasema nilisema mkutano wetu unasema NO reforms no election na tutahamasisha uasi ili kuzuia uchaguzi ni uhaini? Kaaya: Ni kosa. Mhe. Lissu: Mtu anayetaka kuzuia uchaguzi kwa

MARTIN MAVOA (@martinmavoa1) 's Twitter Profile Photo

"Nitashangaa kama hawa watanzania watakataa kuasi. wanapopoteza matumain unajenga volcano. Volcano hii italipuka siku moja, labda kama watu hawa ni wajinga. Watanzania watakuwa ni wajinga na mataahira kama watakubal kuendelea kukandamizwa na watu wachache katika nchi yao wenyewe”