Ni wakati mgumu utapitia pale unapotaka kuachana nae lakini hutaki aondoke . Pia ugumu unakuja unapotaka uache kumkumbuka halaf hujui Kama yeye anakukumbuka ....
MTAG UNAYEPENDA AONE UJUMBE HUU
UJUMBE huu wa mapenzi wa usiku mwema hufanya kazi vizuri unapokua kwenye uhusiano ambapo unaonana na mpendwa wako kwa mara chache kila siku. Haijalishi muda huo ni mfupi kiasi gani, wakati upo nae kila kinachoonekana kuwapo ulimwenguni ni wewe tu na mpendwa wako.
MTAG UMPENDAE
Ujumbe huu wa upendo kwake unafanya kazi vyema kwa wapenzi walio umbali mrefu ambao wanapaswa kuombana picha kila wakati kwa sababu wanaendana na upweke.