Wazungu nao kama sio binadamu yaani wanafanya vitu vya kuhatarisha maisha et ni tour au kuenjoy.
Siwezi kuparamia milima na kamba au kwenda kwenye mapango yasiyoeleweka kisa enjoyment kupapapeki zao.
Kesi ya Uhaini ya TAL itakuwa kWa ajili ya Plea Taking tarehe 08/09/2025, Tutatoa Muongozo kwa wanachama na watanzania wote kuelekea tarehe hiyo muhimu muda sio mrefu! Uelekeo ni Mahakama Kuu! #IamTunduLissu