
Paul_Makubi
@makubi_pol
MA Economics | Investor | Financial expert
๐ | Data Analyst
Author =3 Books, (1)Dunia ya Mikopo na Riba
ID: 1271789071
http://wa.me/255743028952 16-03-2013 08:30:34
2,2K Tweet
11,11K Followers
438 Following



๐๐๐ ๐ฃ๐๐ ๐ฌ๐ ๐ ๐๐ ๐๐ข ๐ฒ ๐ฌ๐ ๐๐จ๐๐จ๐ญ๐ ๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ข๐ฌ๐ข๐ง๐ ๐ง๐ญ (๐ฎ๐ฌ๐ฎ๐ฑ) ๐๐๐ ๐๐๐ฃ๐ TAHADHARI. Nakutumia sasa hivi, ila hakikisha. 1. Umenifollow 2. Repost 3. Comment "2025" Halafu angalia Inbox yako โณ


๐๐๐ ๐ก๐ ๐ฆ๐๐ฅ๐ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐ Hakikisha una MTAJI WA KUTOSHA Miezi ya mwanzo, biashara nyingi zinaendeshwa kwa hasara. Unapopanga bajeti, running costs weka mwezi 1-6(max) After that, the revenue generated should cover running costs and fixed costs at minimum ๐


๐ญ๐๐ก๐๐๐ง๐๐ ๐๐๐ฌ๐ ๐๐๐๐๐ ๐ฌ๐ ๐๐จ๐ช๐๐๐๐ญ๐ ๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข๐ง๐ Saikolojia ya uwekezaji ni fikra flani kuhusu mwenendo wa soko Mbinu za uwekezaji ni kitendo cha kutumia saikolojia ya uwekezaji Zingatia haya kuwekeza 1. Risk 2. Tax 3. Time 3. Return Nikufundishe nini?


๐๐๐จ๐ง๐๐๐จ๐ก๐๐๐ฆ๐๐ช๐ ๐ฃ๐ข๐ฃ๐ข๐ง๐ ๐๐๐ ๐ ๐๐๐ก๐จ ๐ฌ๐ ๐๐๐๐ฆ๐๐๐ฅ๐. Biashara yako inapaswa kuwa hivi 1 kukupa Faida 2 Kujiendesha 3 Kukidhi mahitaji yako Je ni mbinu au philosophy gani utatumia? 1. Usijiulize nifanye biashara gani bali watu wanataka vitu gani


๐๐ฒ ๐ง๐ฎ๐ป๐๐ฎ๐ป๐ถ๐ฎ ๐๐๐ฝ๐ผ ๐ฆ๐ฎ๐น๐ฎ๐บ๐ฎ?? Mozambique kwa sasa kuna Uhaba mkubwa wa fedha za kigeni hasa USD Blackmarket ya USD inakuwa kwa kasi sana. Tz na Msumbiji ni majirani, hili linaweza kutuathiri pia. Bank of Tanzania nadhani ni muda mzuri wa kuweka mikakati.


Paul_Makubi Bank of Tanzania Tanzania inaweza kuepuka uhaba wa dola kama wa Mozambique kwa kuimarisha sera za kiuchumi na uwekezaji wa nje. Mila ya nje ya USD bilioni 5.45 inasaidia utulivu wa shilingi. Sheria mpya za kutumia shilingi ndani zinapunguza mahitaji ya dola. Uchaguzi wa Oktoba 2025 unaweza

Mimi ningekuwa waziri Hussein M Bashe Ningeshauri GDP inakadiriwa kufika USD billion 83 mwaka huu Kuliko kufanya Total ban 1. Ningeongeza Ushuru 500% wa bidhaa na Transit zinazopita Tanzania 2. Ruzuku kwa biashara za wazawa zitafute masoko UAE 3.Kuongeza ubora wa bidhaa


๐ช๐๐๐๐ก๐๐ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐ถ ๐๐ท๐๐ฒ ๐ฆ๐๐ฅ๐ ๐ต๐ถ๐๐ถ ๐ญ๐ฎ ๐๐ถ๐ฎ๐๐ต๐ฎ๐ฟ๐ฎ ๐ถ๐น๐ถ ๐๐๐ถ๐๐๐บ๐ถ๐ฒ Hii pdf ina kurasa 6 ๐ฅ Nakutumia sasa hivi inbox kwako Hakikisha 1. Umenifollow 2.Repost 3. Comment "Done"


๐๐๐ฎ ๐ป๐ถ๐ป๐ถ ๐๐ฎ๐๐ท๐๐ถ? ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ฎ๐น๐ฎ๐บ๐ ๐๐ผ๐๐ฒ ๐๐ฎ๐ณ๐ฒ๐ฑ๐ต๐ฎ ๐๐๐ป๐ถ๐ฎ๐ป๐ถ ๐๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐๐บ๐ถ๐ฎ ๐ต๐ถ๐ถ ๐บ๐ฏ๐ถ๐ป๐ Saikolojia ya uwekezaji ni sawa kwa kila binadamu Ukitaka kuwekeza elewa kuhusu 1. Risk-hatari 2. Tax-kodi 3. Return-Faida 4.Time-Muda 5.Portfolio
