Lollie✨🥀 (@lollyproducts) 's Twitter Profile
Lollie✨🥀

@lollyproducts

#YangaSc #Chelsea #Madrid

ID: 905391167436705795

calendar_today06-09-2017 11:24:10

49,49K Tweet

4,4K Followers

2,2K Following

🇪 🇸 🇮 🇷 🇹🇿🇲 🇹 🇿 (@esireid) 's Twitter Profile Photo

#TajiriLaKihaya Huwa kuna dem mmoja Huwa ananitafuta tu… Kodi yake ya Nyumba ikiisha… Mwezi mmoja kabla ya Rent kuisha Anakua Romantic saana… Nmeshamshtukia - Round hii Hataamini 😂

samwel Rashid (@wakanda_republi) 's Twitter Profile Photo

As usual wakongwe wa timu ndio sababu ya Fadlu kuondoka. Walidhani kocha hana option, baada ya kumwaga mboga kwa kumsema vibaya within the club. Yeye kamwaga ugali kwa kukubali ofa ambazo alikuwa nazo. Imebaki hatua moja tu ya namna ya kuuvunja mkataba wake na SIMBA LINATIMIA.

Mwakatundu Jɾ (@amusmartz) 's Twitter Profile Photo

Leo Soap – Rafiki bora wa ngozi yako kila siku. Hakuna kemikali, hakuna hofu. 🧼Harufu Nzuri Siku 🧼 Ngozi kuwa laini & yenye afya 🧼 Hupunguza chunusi & madoa 🧼 Ni salama kwa familia 🛒 Jipatie 70g zikiwa 5pc Tsh 10,000/= 📲 Agiza sasa wa.me/+255766901509 #skinCare

Leo Soap – Rafiki bora wa ngozi yako kila siku. Hakuna kemikali, hakuna hofu.

🧼Harufu Nzuri Siku

🧼 Ngozi kuwa laini & yenye afya

🧼 Hupunguza chunusi & madoa

🧼 Ni salama kwa familia

🛒  Jipatie 70g zikiwa 5pc Tsh 10,000/=
📲 Agiza sasa wa.me/+255766901509
 #skinCare
Nei🥂 (@neemawillyy) 's Twitter Profile Photo

Ney Ubuyuwakishua Ubuyu mtamu wa Kishua wenye ladha nzuri upo Ukila unakuacha na tabasamu muda wote Hauchubui Mdomo Ukimung'unya Ladha ni Vanilla, Chocolate na Pilipili Bei ni 4000 tu Delivery Kwa Dar na Mikoani tunatuma Nipigie 0752228138

Ney Ubuyuwakishua 

Ubuyu mtamu wa Kishua wenye ladha nzuri upo

Ukila unakuacha na tabasamu muda wote

Hauchubui Mdomo Ukimung'unya 

Ladha ni Vanilla, Chocolate na Pilipili

Bei ni 4000 tu 

Delivery Kwa Dar na Mikoani tunatuma 

Nipigie 0752228138