BUSHMAN (@lmepukory25653) 's Twitter Profile
BUSHMAN

@lmepukory25653

ID: 1691898789530054659

linkhttp://www.bush.go.tz calendar_today16-08-2023 19:45:12

28 Tweet

116 Followers

713 Following

BUSHMAN (@lmepukory25653) 's Twitter Profile Photo

Kila taabu ni ya kwenu pastrolists Pambaneni sana vijana wangu wanyama wetu wasiteseka, watu mijini wamapate mishikaki, supu, nyamachoma, viwanda , famili za watu wa mijinj wafurahi wakila nyama choma kutoka kwenu kwaajili ya ufugaji wenu wa mateso ,jua na mvua ya kwenu n.k

Kila taabu ni ya kwenu pastrolists 
Pambaneni sana vijana wangu wanyama wetu wasiteseka, watu mijini wamapate mishikaki, supu, nyamachoma, viwanda , famili za watu wa mijinj wafurahi wakila nyama choma kutoka kwenu kwaajili ya ufugaji wenu wa mateso ,jua na mvua ya kwenu n.k
BUSHMAN (@lmepukory25653) 's Twitter Profile Photo

FIKIRA TUNDUIZI MISEMOFIKIRISHI Mel Robins aliwahi kusema, kila mtu kwenye kitabu chake cha maisha kuna ukurasa hawezi kuusoma mbele za watu kwa sauti. UJUMBE* Binadamu ana yote, mazuri na mabaya. Shughulika na mazuri yake, mabaya yake waachie wapenda shari, tuko nyuma ya muda

FIKIRA TUNDUIZI MISEMOFIKIRISHI
Mel Robins aliwahi kusema, kila mtu kwenye kitabu chake cha maisha kuna ukurasa hawezi kuusoma mbele za watu kwa sauti. 
UJUMBE*
Binadamu ana yote, mazuri na mabaya. Shughulika na mazuri yake, mabaya yake waachie wapenda shari, tuko nyuma ya muda