Manispaa ya Lindi (@lindimanispaa) 's Twitter Profile
Manispaa ya Lindi

@lindimanispaa

Official twitter page for Lindi Municipal Council.

ID: 1013053716449103872

linkhttp://www.lindimc.go.tz calendar_today30-06-2018 13:36:42

37 Tweet

110 Followers

1 Following

Manispaa ya Lindi (@lindimanispaa) 's Twitter Profile Photo

Mkurugenzi wa Mansipaa ya Lindi anawatangazia wananchi wote juu ya uuzaji wa viwanja vilivyopo katika eneo la Ngongo karibu na eneo linanotarajiwa kujengwa tawi la Chuo kikuu cha Dar es Saalam. kwa maelezo zaidi fika ofisi za ardhi au piga simu namba: 0657650340, 0713654392.

Manispaa ya Lindi (@lindimanispaa) 's Twitter Profile Photo

Mwananchi anza sasa kujiandaa na kumkumbusha mwenzio juu ya uchaguzi wa serikali za mitaa 2019 tarehe 24 Novemba ili muweze kumchagua kiongozi bora!

Manispaa ya Lindi (@lindimanispaa) 's Twitter Profile Photo

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2019 Manispaa ya Lindi wafanyika kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kupiga kura kuchagua viongozi. kwa habari zaidi tembelea lindimc.go.tz/new/zoezi-la-u…

UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA MINGOYO SEKONDARI KUPITIA FEDHA ZA UVIKO-19. Gharama: shilingi 40,000,000/= ( shilingi 20,000,000/= kwa kila darasa) Hali ya Mradi: Umekamilika instagram.com/p/CXyLyu5MF3A/…

Manispaa ya Lindi (@lindimanispaa) 's Twitter Profile Photo

UJENZI WA VYUMBA VIWILI VYA MADARASA SHULE SHIKIZI MAWASILIANO KUPITIA FEDHA ZA UVIKO-19 Gharama: shilingi 40,000,000/= (shilingi 20,000,000/= kwa kila darasa) Hali ya Mradi: Umekamilika instagram.com/p/CXyK_oIsGpV/…

Manispaa ya Lindi (@lindimanispaa) 's Twitter Profile Photo

UJENZI WA VYUMBA 2 VYA MADARASA MKONGE SEKONDARI KUPITIA FEDHA ZA UVIKO-19. Gharama: shilingi 40,000,000/= (shilingi 20,000,000/= kwa kila darasa) Hali ya Mradi: Umekamilika instagram.com/p/CXyJEQDshxj/…

Manispaa ya Lindi (@lindimanispaa) 's Twitter Profile Photo

Tazam tamko la Mkuu wa Wilaya ya Lindi kuhusu zahanati ya Mnali youtu.be/pT0-rHRlmyw au soma kwenye tovuti lindimc.go.tz/new/tamko-la-m…