Ni lini derby ya Premier league, ligi pendwa Dunian kwa karne hii ya 21, ilishawah kujadiliwa kwene bunge lao...kwa ajenda yeyote ile inauohusu mpira!?
Kwani ulaya hakuna viongoz mashabik waliopo kwene bunge lao......
Mwanaharaki ni nani!?
Ni mtu yeyote anaye hubiri haki, anayedai haki, anayetenda haki......
Siasa ni nini!?
Uwasilishaji/uwasilishwaji wa fikra, mtazamo, msimamo wa mtu/watu kuhusu jambo fulani.....