slim__shady (@kush_doug) 's Twitter Profile
slim__shady

@kush_doug

nachambua kila kitu / komboa fikra/ nchi ya kusadikika

@liverpool
@celtics
#Messi
#Djokovic
#Lebron
#tundulissu
#RusellWestbrook
#Kendrick_Lamar
#ProfJizze

ID: 1428472562175160324

calendar_today19-08-2021 21:43:16

12,12K Tweet

1,1K Followers

1,1K Following

DEUSDEDITH SOKA (@deusdedithsoka) 's Twitter Profile Photo

Kunifahamu kwa sura na pahala ninapoishi, the next stage itakua ni kunikamata Kimya kimya, na Kunipoteza, Sababu ni kuwa radical kwa S/R. Nawatia moyo vija, Mungu wetu yupo Hai anaishi milele. Ikotokea basi msilie wala kuudhunika bali itupe moyo wa kupambana na Kukataa usaliti.

DiwaniHQ (@chamalozo) 's Twitter Profile Photo

Vijana wa CCM wanalalamika kuonekana Wapumbavu; sasa kwani ukweli ni upi? And by the way; mnazijua gharama za kuwa kijana wa CDM huku mtaani? Mnafahamu kuna vijana wangapi wamepoteza kazi, biashara na kukosa huduma kwa kuwa na msimamo wa chama cha upinzani? Wajinga ni Wajinga tu.

DiwaniHQ (@chamalozo) 's Twitter Profile Photo

Ukitaka kujua kwamba it is the matter of surviving na si masuala ya ustawi wa nchi yetu angalia namna hao vijana wa CCM wanajenga na kusimamia hoja zao. Adam na Hawa, Yesu na hata Ayubu; wote walijaribiwa kwa njaa. Njaa inapofusha, huoni, hata kama unaharibu kesho yako.

slim__shady (@kush_doug) 's Twitter Profile Photo

......hao watanzania mliowanyamazisha kwa kukatisha uhai wao tena kwa makusudi MMEWAMALIZA? bado wangapi? NCHI IMETULIA? HAMKOSOLEWI TENA? Hakuna namna inapaswa mjitathmini sana kuhusu maana ya kuwa KIONGOZI....

Anna Peter (@muwezayote) 's Twitter Profile Photo

WATANGANYIKA NA WAZANZIBARI KUWENI NA FURAHA, MUNGU AMEKWISHA KUSIKIA KILIO CHETU, TUMESHAKULA KUKU, SASA HIMA HIMA TUMALIZIE KICHWA. SIO WAKATI WA KURUDI NYUMA TENA