Mkweru Zakaria Maswale (@kusenyi) 's Twitter Profile
Mkweru Zakaria Maswale

@kusenyi

ID: 3806989235

calendar_today28-09-2015 19:50:27

69 Tweet

91 Followers

530 Following

Mkweru Zakaria Maswale (@kusenyi) 's Twitter Profile Photo

Bilioni 20 hujawekeza kwa mujibu wa mkataba, umebadili nembo ya kilabu hujashirikisha wanachama, umebadili rangi ya Jezi hujashirikisha wanachama, umejenga uwanja unaitwa jina lako, sasa mali ya Simba ni ipi? Ukiulizwa, unakuwa mkali.

Huyu mzee amekuwa mwepesi sana kuongea na vyombo vya habari kuhusu mambo nyeti ya nchi. Baraza la viongozi wastaafu wa Ccm na serikali lingetumika kutolea maoni badala ya kila mmoja kujisemea atakavyo.

Ukiasi imani yako ya dini maana yake umemuasi Mungu. Unapotengwa na kanisa usilalamike. Mimi naunga mkono utaratibu huo, tena uendelezwe ili watu wajifunze. Mungu anasema, Wakusanyikapo wawili kwa jina langu, mimi niko katikati yao.

Mkweru Zakaria Maswale (@kusenyi) 's Twitter Profile Photo

Chama cha siasa cha Upinzani kitakachoiongoza Tanzania na kulinda rasilimali za nchi badala ya CCM, hakijaanzishwa bado. Vilivyopo ni vyama kwa ajili ya maslahi ya wachache na si kwa manufaa ya wengi.

Tanzania Leaks (@tanzanialeaks) 's Twitter Profile Photo

Tunasema hili wazi. Tunavyoongea, Mtetezi wa DP World. Mchumia Tumbo Kitila Mkumbo yuko sehemu inaitwa Palm Village usiku huu saa, 3 dakika 15 usiku. Wametoka kula wanaelekea sehemu private na wachina. Leo anaondoka na $50K tulidhania mchezo alipoahidiwa mlungula. Takukuru swing

Jacqueline N Mengi (@jntuyabaliwe) 's Twitter Profile Photo

Leo nikikabidhi Oxygen machines na Suction machines kwa ajili ya watoto wanaozaliwa njiti. @doricemollel instagram.com/p/98NqCtQ75D/