Divelian ★ (@kngdive) 's Twitter Profile
Divelian ★

@kngdive

Hustler

ID: 1552386036831068163

calendar_today27-07-2022 20:11:09

1,1K Tweet

451 Followers

1,1K Following

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Kama upo kwenye nafasi ya kumvuta Mtanzania mmoja au zaidi, awe ndugu, jamaa, rafiki au mtu baki kumtoa kwenye umaskini. Please do it, huo ndio mchango wako wa Taifa lako. Umaskini mbaya, unaogopesha, unatisha.

Lubasha Jr (@marekamalili) 's Twitter Profile Photo

Hatua za kuharibikiwa uwa zinaanza mdogo mdogo, mwanzoni uwa zinaonekana kama hazina madhara makubwa badae. Unakuja kushtuka, chuma ipo kwenye mteremko, na breki imekata. It can happen to an invidual, a society, an empire and a nation. Usipuuze umuhimu wa kujisahihisha mapema.

Mange Kimambi (@mangekimambi) 's Twitter Profile Photo

restricted within Tanzania — accessible only through a VPN. I believe this provides further evidence that Meta may have been pressured by the Tanzanian government to silence voices speaking out for the people. Suppressing activists through opaque or politically influenced

KING FUNGO II (@fungothe2nd) 's Twitter Profile Photo

Unamiliki duka, supermarket ama mini market ndani ya wilaya ya temeke na unajiuliza ni wapi utapata bidhaa za bakery (Mikate, skonsi n.k) zenye ubora na kwa uhakika kila siku? Usijali tupigie simu 0655404774 na wasambazaji wetu watakuletea mpaka dukani kwako. Au DM PLZ RT

Unamiliki duka, supermarket ama mini market ndani ya wilaya ya temeke na unajiuliza ni wapi utapata bidhaa za bakery
(Mikate, skonsi n.k) zenye ubora na kwa uhakika kila siku?
Usijali tupigie simu 0655404774 na wasambazaji wetu watakuletea mpaka dukani kwako. Au DM
PLZ RT
KING FUNGO II (@fungothe2nd) 's Twitter Profile Photo

Mpaka mda huu sijalala ila ndugu zangu wa wilaya ya TEMEKE na kata zake msikose vifungua kinywa. Sasa kama unahitaji mikate, maandazi n.k kwa jumla unaweza tupigia 0655404774 au kuniDM na mali itakufikia mapema. NISAIDIE RT MTEJA ANAWEZA KUWA KWENYE TL YAKO.

Mpaka mda huu sijalala ila ndugu zangu wa wilaya ya TEMEKE na kata zake msikose vifungua kinywa.
Sasa kama unahitaji mikate, maandazi n.k kwa jumla unaweza tupigia 0655404774 au kuniDM na mali itakufikia mapema.
NISAIDIE RT MTEJA ANAWEZA KUWA KWENYE TL YAKO.
Divelian ★ (@kngdive) 's Twitter Profile Photo

Deep down i feel good when i encounter violence.. I feel better when i am invoved in violence I feel the best when i start the violence