kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile
kmcfc_official

@kmcfc_official

Official Account of Kinondoni Municipal Council Football Club.

ID: 1561132299269308417

linkhttps://www.threads.net/@kmcfc_official calendar_today20-08-2022 23:26:22

2,2K Tweet

2,2K Followers

35 Following

kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

@balikohance amechanguliwa kuwa mchezaji mwenye nidhamu ndani ya Kikosi chetu kwa mwezi wa sita #Hongera #watotowamjini #wakishua #kinoboys

@balikohance amechanguliwa kuwa mchezaji mwenye nidhamu ndani ya Kikosi chetu kwa mwezi wa sita #Hongera #watotowamjini #wakishua #kinoboys
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

@_ahmed_pipino amejumuishwa kwenye kikosi cha @taifastars_ kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya CHAN 2024. #letsgokinoboys

@_ahmed_pipino amejumuishwa kwenye kikosi cha @taifastars_ kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya CHAN 2024. #letsgokinoboys
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

@jammy_simba_jammy amejumuishwa kwenye kikosi cha @taifastars_ kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya CHAN 2024. #letsgokinoboys

@jammy_simba_jammy amejumuishwa kwenye kikosi cha @taifastars_ kitakachoingia kambini kujiandaa na michuano ya CHAN 2024. #letsgokinoboys
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

๐Ÿ”ฅVIRTUAL USHINDI WA HARAKA NA SIMU MPYA๐Ÿ”ฅ ๐Ÿ’ฏShinda simu mpya ya Samsung A25 ukicheza michezo ya virtual ndani ya meridianbet na hii ni ya kila mtu hata wewe unaweza kuwa mshindi. ๐Ÿ’ฏJisasili kwa promocode KMC uwe miongoni mwa mshindi wa wiki hii.

๐Ÿ”ฅVIRTUAL USHINDI WA HARAKA NA SIMU MPYA๐Ÿ”ฅ 

๐Ÿ’ฏShinda simu mpya ya Samsung A25 ukicheza michezo ya virtual ndani ya meridianbet  na hii ni ya kila mtu hata wewe unaweza kuwa mshindi.

๐Ÿ’ฏJisasili kwa promocode KMC uwe miongoni mwa mshindi wa wiki hii.
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

Katika kuhakikisha anarejesha kwa Jamii , Kiungo wetu @_ahmed_pipino leo ametembelea kituo cha kulelea watoto wenye mahitaji maalumu cha Malaika kilichopo Kinondoni.

Mwenyekiti wa KMC Fc Mhe. Kheri Missinga amekuwa sehemu kikao cha kamati ya Bodi ligi Kuu kilichofanyika leo mapema katika Ukumbi wa Jengo la NSSF Mafao lililopo Ilala jijini Dar es salaam .

๐Ÿ”ฅLOOT LEGENDS CHIMBO LA MAMILIONEA๐Ÿ”ฅ ๐ŸŽฐZaidi ya TZS 1,500,000,000/= kutolewa ndani ya meridianbet, cheza michezo iliyowekwa kwenye shindano hili na uibuke milionea ๐Ÿ’ฏJisajili kwa promocode KMC na ufurahie burudani na ushindi usio na kifani Tembelea ๐ŸŒmeridianbet.co.tz

๐Ÿ”ฅLOOT LEGENDS CHIMBO LA MAMILIONEA๐Ÿ”ฅ

๐ŸŽฐZaidi ya TZS 1,500,000,000/= kutolewa ndani ya meridianbet, cheza michezo iliyowekwa kwenye shindano hili na uibuke milionea

๐Ÿ’ฏJisajili kwa promocode KMC na ufurahie burudani na ushindi usio na kifani

Tembelea ๐ŸŒmeridianbet.co.tz
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

Miguu yake huzungumza zaidi akiwa uwanjani . ๐”๐ง๐š๐๐ก๐š๐ง๐ข ๐ง๐ข ๐ง๐š๐ง๐ข ๐ก๐ฎ๐ฒ๐ฎ? ๐Ÿ‘€โšฝ๐Ÿ‘‡

Miguu yake huzungumza zaidi akiwa uwanjani . ๐”๐ง๐š๐๐ก๐š๐ง๐ข ๐ง๐ข ๐ง๐š๐ง๐ข ๐ก๐ฎ๐ฒ๐ฎ? ๐Ÿ‘€โšฝ๐Ÿ‘‡
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

Hamjaachana nasi hata kwa sekunde moja. Sauti zenu, mioyo yenu ndiyo ushindi wetu wa kwanza. Tunathamini uwepo wenu Mashabiki wetu Wote. #sisinikinondoni #letsgokinoboys #watotowamjini #wakishua #kinoboys

Hamjaachana nasi hata kwa sekunde moja. Sauti zenu, mioyo yenu ndiyo ushindi wetu wa kwanza. Tunathamini uwepo wenu Mashabiki wetu Wote.

 #sisinikinondoni #letsgokinoboys #watotowamjini #wakishua #kinoboys
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

Mguu wa kushoto ndio Silaha yake Kubwa kwa kutoa pasi na kuangamiza wapinzani na mgongoni Jezi inasomeka namba 30. Mtag kwenye Comment kama unamjua ๐Ÿ’ฅ #watotowamjini #kinoboys #wakishua

Mguu wa kushoto ndio Silaha yake Kubwa kwa kutoa pasi na kuangamiza wapinzani na mgongoni Jezi inasomeka namba 30. 
Mtag kwenye Comment kama unamjua ๐Ÿ’ฅ #watotowamjini #kinoboys 
#wakishua
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

๐—™๐—”๐— ๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ก๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—ก๐—œ #watotowamjini #wakishua #kinoboys #letsgokinoboys

๐—™๐—”๐— ๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—” ๐—ฌ๐—” ๐—ž๐—œ๐—ก๐—ข๐—ก๐——๐—ข๐—ก๐—œ #watotowamjini 
#wakishua #kinoboys #letsgokinoboys
kmcfc_official (@kmcfc_official) 's Twitter Profile Photo

๐—๐—”๐— ๐—•๐—ข ๐—ž๐—จ๐—•๐—ช๐—” ๐Ÿ””#kinoboys #watotowamjini Jumatatu Sio mbali ! hakikisha una bando la kutosha ๐Ÿ’ฅ #letsgokinoboys #sisinikinondoni #kinondoninisisi

๐—๐—”๐— ๐—•๐—ข ๐—ž๐—จ๐—•๐—ช๐—” ๐Ÿ””#kinoboys #watotowamjini 
Jumatatu Sio mbali ! hakikisha una bando la kutosha ๐Ÿ’ฅ #letsgokinoboys #sisinikinondoni #kinondoninisisi