kivunge msuya (@kivunge) 's Twitter Profile
kivunge msuya

@kivunge

ID: 420333087

calendar_today24-11-2011 13:50:58

135 Tweet

5 Followers

9 Following

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Leo Septemba 9, 2025 Part 1 Kesi imeanza Mhe. Lissu ameingia. Katuga amesimama na kutambulisha jopo lake na mshitakiwa amesema yuko tayari. Jaji amesema naomba nitoe mrejesho wa tulianzia wapi jana na tuliishia wapi? Ametoa huo mrejesho kuwa sasa

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 4 Anaendelea Mhe. Lissu Sasa hayo ni rahisi Nataka nianze na Magumu. Ukurasa wa 86 to 89 kuna amri ya hakimu wa mahakama ya kisutu ulibadilisha kabisa maudhui na maana ya uamuzi wa mahakama kuu kuhusu kuficha mashahidi. Mahakama kuu ilitoa

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 5 Mhe. Lissu anamuuliza Katuganga nani anaevunja amri ya mahakama kati ya Wakili Mkuu wa Serikali na team yake yote ambao wamewaweka wazi wote. Kile walichoambiwa na Mahakama Kuu wasikifanye ndo wamekifanya, mwenye kosa ni nani hapo mimi au wao?

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 6 Amemaliza Wakili wa Serikali Mrema Naona Majaji wanajadili jambo kidogo hapa Jaji Nduguru anasema kila upande una wajibu wa kuiambia mahakama sio useme navumilia. Kama kuna jambo lilionekana mapema kuna lina shida ulipaswa kusema na sio

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 7 Anaendelea Mhe. Lissu Sheria inasema mtuhumiwa akikataa kusign mahakama iseme kuwa amekataa kwa kuandika. Sasa mimi sijasign sijaweka gumba na wala hakuna paliposema nilikataaa kusign. Mambo yamevuruga kiujumla jumla tu. S. 266(6) of

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 12 Anaendelea Mhe. Lissu Tatu. Mahakama ya Rufaa kwenye kesi ya Dodoli Kapufi ilisema nini kuhusu kifungu cha 183? Jaji Chande alisema in essence that section is deal with trial not deal with Committal. Section inayodeal na committal ni S. 261.

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 13 Anaendelea Mhe. Lissu Upande wa mashitaka unalazimisha kuipa mamlaka Kisutu ambayo haikuwa na hayo mamlaka, wao wanasema inayo mamlaka mimi nasema haina. George Abdon Kilinga mahakama inasema walikubaliana.Totally wrong. It is

SATIVA17 (@sativa255) 's Twitter Profile Photo

#UPDATES_KESI_YA_UHAINI Part 14 Anaendelea Mhe. Lissu Swali je mfanyaje? Mahakama ifanye nini? Turudi Kisutu? Ndio Swali lililoulizwa tangu juzi. Turudi Kisutu? Mnakumbuka wakati namalizia hoja yangu nilisema futeni haya mashauri nirudi nyumbani kwangu nikalale